Lech Poznan
JF-Expert Member
- Jul 3, 2025
- 783
- 1,211
Ngoma haichuji, haichoshi na haizeeki.Werrason ndiyo Bingwa wa Masebene Africa na Dunia. Kwenye Sebene alizopiga hili ndiyo funga kazi, koffi na wenzake wanasubiri sana.
Hilo sebene likukute hudaiwi na mtu, ada umemaliza udaiwi jioni ulipata hela flan amazing na sahyo n saa tano usiku upo baa Moja unakula vitu vyako alafu Kuna mchepuko/baamed anataka kukutunuku kichwani bia zimekubali aisee lazima uyarudWerrason ndiyo Bingwa wa Masebene Africa na Dunia. Kwenye Sebene alizopiga hili ndiyo funga kazi, koffi na wenzake wanasubiri sana.
Kweli mkuu Wacongo wanajua kuimba kucheza na kupiga Muziki, ata Ukisikiliza midundo yao inaeleweka tofauti na Wasanii wetu Midundo yap haieleweki na haivutii, sijui tatizo ni waandaji wa Muziki hawa taaluma ya kuandaa mapigo au Studio zetu hazina ubora.Ngoma haichuji, haichoshi na haizeeki.
Umenifurahisha sana mkuu, wakati unasubiri kutunukiwa upo radhi na tayari kumsaidia baamedi kukusanya viti na meza ili afunge baa muondoke mapema. 🤣Hilo sebene likukute hudaiwi na mtu, ada umemaliza udaiwi jioni ulipata hela flan amazing na sahyo n saa tano usiku upo baa Moja unakula vitu vyako alafu Kuna mchepuko/baamed anataka kukutunuku kichwani bia zimekubali aisee lazima uyarud
Wakongo muziki una thamani kubwa sana kwao. Muziki ni maisha, sanaa, utamaduni na burudani. Ukiwasikiliza wenge musica, boziboziana, Olomide, fally pupa,madilu na wengineo muziki wao unaishi mpaka kesho.Llll
Kweli mkuu Wacongo wanajua kuimba kucheza na kupiga Muziki, ata Ukisikiliza midundo yao inaeleweka tofauti na Wasanii wetu Midundo yap haieleweki na haivutii, sijui tatizo ni waandaji wa Muziki hawa taaluma ya kuandaa mapigo au Studio zetu hazina ubora.
Huku tunakupigia makofi uyarudi vizuriHilo sebene likukute hudaiwi na mtu, ada umemaliza udaiwi jioni ulipata hela flan amazing na sahyo n saa tano usiku upo baa Moja unakula vitu vyako alafu Kuna mchepuko/baamed anataka kukutunuku kichwani bia zimekubali aisee lazima uyarud
Hata kama anashot unajiongeza kumpa alipe kaunta Ili mambo yasijebadilika, baamed hawachelew kukubadilikiaUmenifurahisha sana mkuu, wakati unasubiri kutunukiwa upo radhi na tayari kumsaidia baamedi kukusanya viti na meza ili afunge baa muondoke mapema. 🤣
Hapo saidi kichwa hatulii barmed unamuona beyonce hahahahaHilo sebene likukute hudaiwi na mtu, ada umemaliza udaiwi jioni ulipata hela flan amazing na sahyo n saa tano usiku upo baa Moja unakula vitu vyako alafu Kuna mchepuko/baamed anataka kukutunuku kichwani bia zimekubali aisee lazima uyarud
Inahitwaje sasa nii-google...!!?Werrason ndiyo Bingwa wa Masebene Africa na Dunia. Kwenye Sebene alizopiga hili ndiyo funga kazi, koffi na wenzake wanasubiri sana.
Katika kitabu cha "1001 Albums You Must Hear Before You Die" Revised and Updated Edition, kilichotumia international critics, albamu pekee kutoka Congo iliyotajwa ni "Haut De Gamme" ya Koffi Olomide.Werrason ndiyo Bingwa wa Masebene Africa na Dunia. Kwenye Sebene alizopiga hili ndiyo funga kazi, koffi na wenzake wanasubiri sana.
Kwenye laivu bendi za Bongofleva mimi huwa nasikia makelele tu huku nawaona wameshikilia suruali zao kwa mbele kisha wanawanyooshea maiki watazamaji wote twende,nikiimba mnaitikia wote twendee.Llll
Kweli mkuu Wacongo wanajua kuimba kucheza na kupiga Muziki, ata Ukisikiliza midundo yao inaeleweka tofauti na Wasanii wetu Midundo yap haieleweki na haivutii, sijui tatizo ni waandaji wa Muziki hawa taaluma ya kuandaa mapigo au Studio zetu hazina ubora.