Sebene linaponoga mambo huwa kama hivi!

Viatu vya huyo baba vinanikumbusha Jokeli hahahhaaa
 
Vinaitwa Mkuki moyo au Mkwaju...vilipendwa sana zaman...Mzuka umempanda kweli kweli
 
sipati picha huyo jamaa mkewe akimuona jinsi anavyolitolea macho hilo ngongingo la huyo mceza shoo.
 
Ahahahahahahaaaah huyo mzee kapandwa na midadi ya sebene!
 
itabidi nianze kusoma vitabu vya Mwalimu, vilikuwa na maana na misingi ya utawala bora, any way guys huyu jamaa mzuka umempanda? au alikuwa amelewa tu, make kuna kuna kulewa na mzuka kupanda-----hii sehemu inaonyesha ni sehemu ya baa so jamaa alikuwa amelewa and not mzuka, halafu huyu mzee inaonekana aliruka step ndo maana unamwona mahali hapo na huo umri
 
Jamani baba wa watu kanogewa utadhani anacheza gwaride ..bila shaka ni afande huyo
 
duh!, kama angeruhusiwa kushika hayao mananihii ya huyo dada, mbona angemaliza hapao hapo!
 
Ayaaaaaaaaaaaaa,nomaaaaaaaaa,nomaaaaaaaaaaaa,nomaaaaaaaaaaaaaa wajameni!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…