Second Local Ventilator Hits Market.

Second Local Ventilator Hits Market.

Ila na wewe haya umeandika ni matusi ya nguoni, hakuna tofauti kati yake na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app


Yeye ndiye alianza kunitusi kabla, na mimi nilikuwa na haki ya kujitetea kwa kujibu, by the way, ilinipasa nieleze ukweli ambao yeye au watu wengi hawaujui kwamba; " Mtu yeyote mwenye mazoea, tabia, hulka, desturi ya kutukana watu MATUSI YA NGUONI aghalabu uzao wake una mashaka kama jinsi nilivyoeleza hapo juu.

Hii ni njia moja ya kumfanya ajitathmini na ajirekebishe , sasa angalia majibu yake atakayotoa kwenye hii post, hawezi kuniita mjinga bali lazima atatumia tusi la nguoni, na jambo hilo lina m-characterise kwamba yeye ni Bastard, and that's a typical sign of bastardism. Frankly speaking I am not intending to annoy him or abuse him, that is a fact I am talking about.
 
Mimi ninakuambia ukweli kwamba; Mtu yeyote anayependa kutukana watu matusi ya NGUONI kama jinsi wewe unavyofanya, huyo kwa asilimia kubwa ni Mtoto wa Haramu, hiyo ndiyo kanuni.

Ipo hivi; inawezekana unajiona unaye baba mzazi na mama yako kakuambia huyo ndiye baba yako mzazi lakini inawezekana huyo asiwe ni baba yako mzazi na kama ni kweli ni baba yako mzazi basi alikupata kwa njia ya zinaa kwani tabia ya kutukana unayoionyesha inaashiria wewe ni Mtoto wa haramu.

Nasema hivyo sio kwamba nataka kukutusi jinsi unavyonitusi Mimi laa, bali nataka uachane na tabia hiyo ya kutukana matusi ya nguoni kwani kwa kufanya hivyo ni ishara ya UANAHARAMU.

Fanya tafiti utakuta mwanaharamu hupenda kutukana watu matusi ya nguoni, na hili ni somo sio kwako tu hata kwa watu watakaosoma hii post.

"The style of your insults depicts that you are a bastard."

انت ابن زانا
We stupid kuja kipande hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila bahati haiwi mbaya ,siku zote bahati ni nzuri,hio Inakua nuksi,kwa nuksi condom ikapasuka na akazaliwa,ashukuriwe Mungu mamake kakosa dawa ya kutoa.
Wewe enyewe mama yako alikua changudoa mkodisha uchi. Shukuru sana condom ilipasuka ndio ukapatikana ki bahat mbaya. Kuwa na heshima mwana wa condom

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mimi ningekuwa kiongozi mkuu wa nchi vyuo vyote vya ufundi na sijui maprofesa au madokta au wahandisi huu ndio wakati wangeipatapata.

Ningetoa amri mwezi mmoja au walau muda watakao hitaji, leteni hapa mashine!

Wataalamu wa virusi na magonjwa yake nao wangepata homework nzuri!

Hii habari ya kusubiri mzungu au WHO siyo mkakati kabisa.

Hao wazungu na WHO wangepewa tu changamoto ya kuthibitisha kisayansi kwamba tulichoibua au kutengeneza kinafanya kazi au hapana, basi.

Hongera hao watu wa Kenya waliotengeneza mashine.

Na hii iwe ni chachu kwa nchi zetu za kiafrika kujitegemea kwenye mambo nyeti kama haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona itasaidia Kenya iindustrialize. Unajua macartel walikuwa wanazuia mayut kumanufacture these equipments. Hata mahosi hazingeaccept these equipments juu ya maringo ya peni mbili. Ati locally made is low quality we want to import from Germany. Saa hii Germany na China hawauzi ventilator. Mahosi inabidi wapunguze maringo na kununua locally made na kuleta employment to mayouths. In fact we need to start supplying any surpluses to lazy Tanzania and our friends Uganda to show them we are not in the same league. We are their father.
A lazy person whom you depend on importing maize and other food stuffs.??
Mama Ngina 's daughter, are you serious?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Africa tunaweza, ila tu tunasubiri majanga yatupate kisawasawa ndio tutumie akili zetu.

Anyways, nasikia Kenye mnatumia 1 billion ksh ku fight Covid per day, ila karantini nimeona picha iko kuliko gereza la criminals in terms of conditions. Nini Tatizo? au kuna watu wamehalalisha njia ya kula izo bilioni?
 
Back
Top Bottom