Second opposition politician killed in Tanzania

Second opposition politician killed in Tanzania

Tatizo Polisi wakiwa wanafanya uchunguzi mnaanza kuwaingilia na kuwakejeli, mfano Tukio la lissu, watu wanaropoka tu na kuipa Serikali wakati mgumu kufanya kazi, hata hao wahalifu wakitangazwa bado mtakuja mtasema Polisi ni Waongo wametunga stori we huoni hiyo ni kasoro Kubwa sana mlionayo?? Nikueleze tu hakuna kitu kibaya Kama kuingiza siasa kwenye jambo lolote lile ndo maana hata jeshini hawaruhusiwi kua mwanachama Wa Chama chochote kile..

Sasahv tunataka chama kimoja basi, tuone watauanaje maana hivi vyama vyama vya visiasa viko Ki maslah hata hayo mauaji yanaweza kua yanaratibiwa na viongozi Wa vyama vya Upinzani ili Ku gain popularity..

Mkuu mbona una hoja dhaifu sana !!
Ulishawah kuskia kuna raia hata mmoja ameenda central au oysterbey kuomba jalada la uchunguzi wa case flani ?? Kama ipo prove me wrong here

Ama una maanisha kuwaingilia kwa namna gani ? Infact police wana namna yao ya ky collect data na kuzifanyia kazi

Naunga mkono hoja kwamba ni vibaya kuliingiza jeshi na siasa na ndyo maana huko hamna wanasiasa

Lakini kubali ukutae jeshi letu linatumika kisiasa

Kwa kumalizia hi tanzania siyo ya mtu fulani ama kikundi cha watu flani flani , hii ni nchi ya watanzania wote
Wa kizazi cha leo na cha kesho kutwa huna uwezo wa kusema tunataka chama kimoja bila kuhusisha maamuzi ya watanzania wote , kupingana kwa hoja isiwe uadui wapendwa.
 
Okay hebu angalia Tamko la polisi kufuatia uchunguzi walioufanya hivi karibuni kuhusu hilo Tukio then angalia na Comments za Wa TZ halafu uniambie kama wapinzani watakuja kuamini uchunguz wowote utakaofanywa na polisi kutokana na Chuki waliolishwa na Viongozi wao
d3674d997452dc874ec4699b6d75cf4e.jpg
6b1497e43a8e1caee2cbfafa1af7f7ab.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Sasa kamanda mwenyewe ana jibu tuhuma za mauaji ya raia bila kuwa na hakika na majibu yake utamuamini vipi mtu kama huyo ?

Kamanda anasema huenda ni chanzo cha mauaji hayo ni kisasi kweli huyu ni mkufunzi wa mambo ya uchunguzi .... hata mtoto mdogo lazima apatwe na mashaka kwa majibu ya namna hii
Majibu mepesi ya namna hii ndyo yanayoondoa imani kwa polisi

Alitakiwa aje na majibu ya hakika kutoka kwenye uchunguzi wake siyo mambo ya kufikirika fikirika
 
Kama unaelewa mambo ya Usalama kuna kitu kinaitwa Preliminary investigation ambayo inahusisha maoni ya Jamii na watu waliozunguka ili kupata information za Tukio zima, na kwa mazingira kama ya hilo tukio inaonyesha wazi kua hilo tukio limesababishwa na Chuki japo uchunguzi wa ndani zaidi unaendelea kufanywa ili kufikia Conclusion.. Na hizo ni Taarifa za mwanzo muhimuu sanaaa za kuleta mwanga Wa Tukio zima. Vita za mipaka Tz hazijaanza Leo wala Jana ni miaka na watu wengi wamekufa kwa matukio kama hayo
 
MK254 nilikuwa nikiilahumu serikali ya Kenya kipindi cha mahuwaji but you a far better. Share this pictures to all Kenyan media. We want the world to know that Tanzania is nolonger safe. Mimi ni ccm but always nitasema ukweli fitina kwangu mwikoView attachment 700564 View attachment 700565 View attachment 700566 View attachment 700567 View attachment 700568
Mungu wangu!! Mwogope mwanadamu kuliko mnyama...Hizi Siasa za visasi hazina maana kabisa...Vyote ni vya hapa duniani jamani...Tulivipata hapa na tutaviacha hapa iwe mali au ukubwa wa kisiasa...Sisi sote wapita njia...
 
hizo picha zashtua...wanadamu ni wanyama aki
 
MK254 nilikuwa nikiilahumu serikali ya Kenya kipindi cha mahuwaji but you a far better. Share this pictures to all Kenyan media. We want the world to know that Tanzania is nolonger safe. Mimi ni ccm but always nitasema ukweli fitina kwangu mwik

Bila ushahidi ni kuleta chuki kwa jamii au kundi fulani, umeleta kidhibiti bila ushahidi ambao ungeweza kumuunganisha mtuhumiwa. Lakini kinacho sikitisha zaidi ni kuangazia siasa zaidi kuliko maeneo mengine kama maisha binafsi ya kila mwanachi awe mwanasiasa au mtu wa kawaida.
 
Wtf man, you were not supposed to upload these pictures or share, ni sheria ya tcra hiyo, omba Mungu waku ignore, you're disrespecting the deceased, you're so dumb for doing this, you need to chill with that emotion ma niga.
Crap
 
Inatamausha kweli kuona jirani zetu mkiyafanya haya yawe kama ya kawaida tu. Wakati sisi tunaofahamu Tz na watanzania vizuri tunajua sivyo. Siasa kando, huyu shetwan wa visasi vya aina hii anafaa akemewe kwa fujo kabisa!
Hakuna anayethubutu kumkemea!! Hata malaika zake leo wanapumua baada ya huyo sheitwan kwenda mapumzikoni huko kuzimuni kwake leo!
 
Nooo!!! I once said Danganyika has pretentious peace.... Waaah
 
Ndugu zetu watz, tunawomba sana msikubali hawa wanasiasa wawaelekeze kwenye njia hii. Tuulize sisi wakenya, siasa na visasi vikiingiana hakuna yeyote ule anayebaki salama. Walipomuua Pio Gama Pinto na J.M. Kariuki huku Kenya, miaka ile ya 60s, hawakujua kuwa kuna wakenya ambao watakumbuka hujuma hiyo hadi sasa hivi, yaani kwao ni kama jana tu.
Point
 
Back
Top Bottom