Secret admirer; hii ipo jamani?

First ladt tafadhali rudisha
ile avatar yako,hii haifai........
 
jamani hii sredi mbona nimechelewa sana kuiona?
 
ni kupiga moyo konde tu..................mambo mengi kabla ya kuyatenda tunayapa ugumu usio mithilika, wakati kimsingi once u do it unashangaa kwa nini muda wote huo hukufanya!
 
pole mumy!!
y dont u tel hm?
pls try to tok to him ujuie moja if the case is positive o negative!!!!!
pole sana
 
Wapenzi habari za kazi na weekend nisiwachoshe msinichoshe...leo nimekuja na mshangao kidogo..
Niliwahi kubandika hapa ile habari ya binti aliyempenda Kijana akashindwa kumwambia...
Bahati njema wamefanikiwa kuonana na kukaa pamoja kwa maongezi last weekend mambo yakaa hivi..

Kijana kamwambia Binti aliwahi kumuuliza mtu juu ya habari zake lakini aliambiwa ana B/F akaamua ku-give up .. asante umekuja maishani mwangu by Coincidence ila niko na G/F wa muda mrefu if u don't mind naweza kuwa na wewe time will tell... na kauli ya mwisho ya Mkaka ilikuwa " Make me what u want..:wave:
Binti kachanganyikiwa anadai itakuwaje amwambie make me what u want wakati tayari ana G/F wa muda mrefu...???:tape:

Safety is our number 1 value ..weekend njema
 
:rip::rip::rip:
 
Mie mwenyewe hata sijui nisemeje hapa ..huyu mwanaume ni jamii ya Wakwale
 
Alitegemea kuambiwa nini wakati anajua jamaa Ana mtu?

Hiyo ni bahati kwa jamaa na yeye akaunganisha kuwa aliwahi kumuulizia.....ili aonekanwe nae amemuona mrembo!
 
Sioni ajabu kwani huyo bi dada kapewa choice kusuka ama kunyoa,so kama anataka kuwa spare tyre watu wale nyao wakitaka ama atafute mwingine aliye single aanze moja
 
Alitegemea kuambiwa nini wakati anajua jamaa Ana mtu?

Hiyo ni bahati kwa jamaa na yeye akaunganisha kuwa aliwahi kumuulizia.....ili aonekanwe nae amemuona mrembo!

wanaume siku zote hawaishi maajabu
 
Sioni ajabu kwani huyo bi dada kapewa choice kusuka ama kunyoa,so kama anataka kuwa spare tyre watu wale nyao wakitaka ama atafute mwingine aliye single aanze moja


Hapa naona Bi dada anatakiwa asahau kama aliwahi kumpenda jamaa aendelee na maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…