Elections 2010 SECRET PLOT REVEALED: Kikwete aongoza, Lipumba wa pili, Slaa wa tatu

Fareed

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2010
Posts
328
Reaction score
135
Matokeo yaliyotolewa mpaka leo usiku na NEC ni kuwa Kikwete aongoza Urais, Lipumba wa CUF wa pili na Slaa wa tatu!

Imegundulika kuwa kuna MWAFAKA WA SIRI WA TANZANIA BARA kati ya CCM na CUF. Mwafaka huo baada ya makubaliano ya kuunda serikali ya mseto Zanzibar ni kumtangaza Kikwete mshindi wa Urais akifuatiwa na Lipumba wa CUF na SLAA awe mshindi wa tatu. Lengo kuu ni kuwa kwa SLAA kuwa mshindi wa 3 itakuwa ni "win-win" situation kwa CCM na CUF.

CCM inamhofu SLAA na CHADEMA kuwa ndiyo kiongozi na chama kinachoweza kuing'oa madarakani. Viongozi wa CUF wana wivu/chuki na CHADEMA kwa kuwa wameona kimechukua nafasi ya CUF kama chama kikuu cha upinzani Tanzania. Hivyo basi, kwa ku distort matokeo ya kura za Urais na kumfanya Lipumba mshindi wa pili inaonekana ni mbinu ya kuimaliza CHADEMA kisiasa.

Mkakati huo unaendana na NEC kuagizwa kutoa matokeo ya kura za Urais kutoka kwenye mikoa ambayo ni ngome za CCM na CUF kama Zanzibar, mikoa ya kusini Lindi na Mtwara, Morogoro, Tanga, Dodoma, Singida, etc.


Lengo ni kuwaandaa Watanzania kisaikolojia kuwa tayari Kikwete atashinda Urais na Lipumba atakuwa mshindi wa pili.


Matokeo kutoka mikoa ambayo SLAA ana nguvu sana na amezoa kura nyingi za Urais kama Dar, kanda ya ziwa, kaskazini na nyanda za juu kusini yamezuiliwa yasitoke. Hii inawapa CCM muda kucheza na matokeo kwenye mikoa hiyo muhimu yenye population ya zaidi ya 8 million people ili hatimaye kuja na matokeo ya mwisho yanayofanana na haya ya sasa hivi kutoka mikoa ya CCM na CUF yenye population ya watu kama 1 million tu.


Zifuatazo ni source kutoka website ya TBC1 (nimeambatanisha snaposhot ya website) na story ya AFP inayo onesha kuwa SLAA sasa is a "distant third" in the presidential race.


MPO HAPO?

AFP: Tanzanian president shows strong lead in poll results

 
CCM watakuwa hawakupitia hesabu za kubalance chemical equation bse bara CHADEMA bara wanaongoza kuliko cuf kwa upande wa ubunge
 
Watanzania Hawadanganyiki!!!!!!!!!!!!!!
 
Unajua Zanzibar jumla ya Kura zote hazifiki Laki nne
 
Ndugu zangu watanzania, mwaka huu tusikubali kamwe kuongozwa na mtu ambaye siyo chaguo letu.

Ninawaomba sana tena sana viongozi wa CHADEMA mfanye uchambuzi wa kina wa taarifa nyingi mnazoletewa zinazohusiana na hila kubwa iliyofanywa na ccm na vyama uchwara ili waendelee kuongoza nchi hii kwa nguvu. Tukiogopa kumwaga damu hatutaweza kuikomboa nchi hii.

Wananchi tupo nyuma yenu hatuwezi kukubali kuporwa haki yetu.
 
Ndo imetoka hio!...Gaadem jamaa kaiga mtindo wa Kenya live!!!!

U simply delay the results of the presidential elections while cooking them.

This is an assault to Democracy.
 


Dawa ni Chadema kwenda Mahakamani na kudai kura zirudiwe kuhesabiwa hapo CCM kitakuwa ni kilio na kusagag meno na JK wake...........
 
CCM bwana wanajiona wana hati miliki ya Tanzania na wamejisahau
 
Matokeo yaliyotolewa mpaka leo usiku na NEC ni kuwa Kikwete aongoza Urais, Lipumba wa CUF wa pili na Slaa wa tatu!
Acha uongo matokeo yaliyotangazwa na NEC hadi saa 11 jioni ni haya.
Peter Mziray: Kura 4275 = 1.45 %;
Jakaya Kikwete: 186 1877 = 64.2 %;
Dr. Slaa: 578 636 = 19.95 %
Prof. Lipumba: 238 259 = 8.22 %
Mutamwega: 5690 = 0.2 %
Fahmi: 3435 = 0.12 %
Zilizoharibika: 163 562 = 5.64 %

Matokeo ya kura za urais according to Mwananchi: Mwananchi Election Editions
 
Chadema fanyeni maandalizi ya kutosha "ku-dispute" matokeo na kupeleka kesi mahakamani mpaka kura zihesabiwe upya na haki itendeke. Haki lazima itendeke, nchi hii ni yetu sote.
 

Swali ni kuwa, baada ya hapa, Kikwete ataweza kuliongoza taifa hili kwa ufanisi? Tukumbuke ahadi kem kem alizotoa na vile vile tusisahau tabia ya ccm ya ufisadi. Nionavyo mimi ni kuwa Watanzania waliomchagua watajutia kitendo hicho cha kumchagua kwani maisha yao yatazidi kuwa magumu kuliko yalivyo sasa hivi.
 

Luteni,

Heshima yako.

Nadhani ukisoma tena utaona hayo maneno sio ya Fareed bali ametoa kwenye source ya AFP.
Wewe nawe umetuletea source nyengine. Kwa hivyo ni source mbili na two differetn stories
but the fact is that Kikwete anaongoza na atashinda akitangazwa hapo ijumaa.

You are simply being prepared for the eventuality.
 
Ndo maana nadiriki kusema kuwa ccm mzuri ni yule aliyekufa. Lakini hawa ambao wako hai wote akili zao zinafanana, kuwa chama bora ni ccm hata kama alama za nyakati zinasema sivyo!!!
 
Chadema fanyeni maandalizi ya kutosha "ku-dispute" matokeo na kupeleka kesi mahakamani mpaka kura zihesabiwe upya na haki itendeke. Haki lazima itendeke, nchi hii ni yetu sote.

CCM inatawala mahakama (ndio waajiri wao) kwa hivyo huko ni giza tu!
 

Ahadi tena?...Hio sahau maana si nd'o anamaliza term yake huyo. Whether he delivers or not, I doubt
he cares. Maybe kama anataka kumuandalia Riz-1.
 
Dawa ni Chadema kwenda Mahakamani na kudai kura zirudiwe kuhesabiwa hapo CCM kitakuwa ni kilio na kusagag meno na JK wake...........

There is no way utashinda kesi against CCM mahakamani. Na kuhakikishia kesi itapelekwa kwa mwendo wa kinyonga na ukishtuka tayari ni 2015.
 
The theory behind the conspiracy makes sense to me. Hata hivyo mwisho wa siku ukweli utajulikana tu. This time hatudanganyiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…