Elections 2010 SECRET PLOT REVEALED: Kikwete aongoza, Lipumba wa pili, Slaa wa tatu

Elections 2010 SECRET PLOT REVEALED: Kikwete aongoza, Lipumba wa pili, Slaa wa tatu

Wakuu.... mimi nlishaacha kufuatilia matokeo ya urais pale nilipoona wanasema yasitangazwe sambamba na ya ubunge, with our african leadership experience... one would automatically know what is happening

Nimesikitika sana na rais anayetaka kuongoza kwa 80% bila kujali kwamba si sahihi... Ila nashukuru mungu saa ya ukombozi imefika kwani wabunge wa upinzani wanaoenda bungeni (CUF, CHADEMA, NCCR etc) watasaidia mapinduzi ya kweli

Lipumba is a puppet and we all know, Mbatia is a political cheerlady (na simuombi msamaha rafiki yangu yule)

Congratulations to all who won except JK, siwezi kushangilia mwizi wa aina yoyote ile hata kama awe papa ratsinger
 
KILA JAMBO SIKU ZOTE LINA MWISHO I HATE KIKWETE NA UTAWALA WAKE :A S angry:
 
CCM watakuwa hawakupitia hesabu za kubalance chemical equation bse bara CHADEMA bara wanaongoza kuliko cuf kwa upande wa ubunge
Tatizo letu ni "UKUVI" (UKOSEFU WA KUMBUKUMBU VICHWANI) la si hivyo MAPENZI YETU YANAPITILIZA, napenda tusimame kwenye ukweli. uchaguzi uliopita CHADEMA ilipata kura laki sita na ushei ikapata wabunge 5 bara hakuna alielalamika kwamba CUF imepata kura milioni moja na ushei bara bila mbunge hata mmoja... HIVI HATA KAMA KUSOMA HAMJUI JE MNASHINDWA KUSOMA PICHA PIA:doh: mkiambiwa KATIBA IBADILIKE ninyi MNAWAZA KUKIMBIA KABLA YA KUTAMBAA:smile-big: au hamjui TUME inabadiishwa na katiba??
 
hata mungu anataka utete haki zako usiwe kimya wakati unapokonywa haki zako na ww unasema tuombe mungu
 
hata mungu anataka utete haki zako usiwe kimya wakati unapokonywa haki zako na ww unasema tuombe mungu

Ninachoshukuru sasa ni kuwa watu wanazidisha hasira kwa serikali ambayo hawakuichagua na kuelekea njia ileile waliyopitia wenzetu wa Kenya kama si leo basi tungojee siku ya siku
 
KURA%20LOGO.jpg

Msimamo mpaka jana usiku ndiyo huu hapa!!!!
 
Kwa kweli hata mimi jana nilikuwa na wazo kwamba huenda sisiem wameamua kuhamishia kura za CHADEMA walizochakachua kwa CUF ili kuua nguvu ya CHADEMA, lakini wajue kwamba hatudanganyiki. Sasa nazidi kufunguka macho...
 
Matokeo yaliyotolewa mpaka leo usiku na NEC ni kuwa Kikwete aongoza Urais, Lipumba wa CUF wa pili na Slaa wa tatu!

Imegundulika kuwa kuna MWAFAKA WA SIRI WA TANZANIA BARA kati ya CCM na CUF. Mwafaka huo baada ya makubaliano ya kuunda serikali ya mseto Zanzibar ni kumtangaza Kikwete mshindi wa Urais akifuatiwa na Lipumba wa CUF na SLAA awe mshindi wa tatu. Lengo kuu ni kuwa kwa SLAA kuwa mshindi wa 3 itakuwa ni "win-win" situation kwa CCM na CUF.

Fareed, wewe si mwanamageuzi bali ni sisiem damu tena tunakujua vema na wala ustake kuturudisha nyuma. Wakati cuf ilipokuwa na nguvu katika chaguzi zilizopita, mliwaambia cuf kuwa chadema, nccr, tlp wana muafaka wa siri na ccm na hata vyama hivyo vilimezwa sumu ya kuwa cuf ni chama cha kidini, vijana wahuni na cha kigaidi. Juhudi mlizifanya mkadhoofisha cuf na ku-rise up chadema. Now chadema ina nguvu mnakuja tena na hoja ya cuf wana muafaka na ccm ili kudhoofisha Chadema. Enyi wana Jamii Forum-Are you surely GREAT THINKERS hata mkamsupport huyu fareed? Mmesahau kontena la visu bluu vya cuf alilolitangaza Jambazi mahita? Somo la uchaguzi huu ni kuwa ccm inaweza kuondolewa madarakani ikiwa juhudi za kweli na za pamoja za upinzani kuunganisha watanzania regardless their religion or region even zones. Mimi navyoona, chadema na cuf wote ni wapinzani wa kweli na walioonja machungu ya kuwa wapinzani, kwa nini historia ya wakoloni na babu zetu isitufundishe namna ya kuiondoa ccm? Kama issue ni dini, hizi dini hazitakuwa kitu kimoja abadan, lakini kama issue ni ukombozi wa maendeleo ya watanzania! this will be simple like copy an paste without opening new window. Ivi wana JF, bado tu hamna majibu ya kwanini mikoa hii ya Lindi, Mtwara, singida Zanzibar matokeo ya urais yanatangazwa mapema?
 
CCM kutawala watu ambao wamewachoka ni kupoteza wakati bure. Hakutakuwa na support kwenu kwa miaka mitano!!. Dr. Slaa I can declare is the 5th President.
 
Luteni,

Heshima yako.

Nadhani ukisoma tena utaona hayo maneno sio ya Fareed bali ametoa kwenye source ya AFP.
Wewe nawe umetuletea source nyengine. Kwa hivyo ni source mbili na two differetn stories
but the fact is that Kikwete anaongoza na atashinda akitangazwa hapo ijumaa.

You are simply being prepared for the eventuality.
:smile-big: nimisema...... wao wanataka ya tu wanayoyataka yani apo:nono: heri mimi sijasema! (WAMESAHAU KULE VIJIJINI MPAKA LEO WANACHAGUA CHAMA CHA NYERERE NA NDIO KWENYE KURA NYINGI... jamani mbona mnashindwa kutofautisha kichuguu na mlima. (TUNAHITAJI MABADILIKO lakini tunahitaji KUJIPANGA. wengi wetu tumekuwa bendera fata upepo:A S angry: sijui ni uwezo wa kufikiri umefika ukomo???:A S angry::doh:
 
mmeshindwa jamani acheni kucook facts, hii forum inkuwa powed na upinzani nini, watanzania wenyewe kwa hiyari yao wamempa mkere acheni kutuyumbisha nyinyi, I call upon all Tanzanians to be one after the swearing party of the best man of our land.
 
HIVI IKIWA WATANZANIA HESABU NDOGO ZINZWASHINDA ZA KUJUMLISHA JE ZA KUZIDISHA??? Je mmeshasahau kuwa Profesa alishika nafasi ya pili kwa kura 1.2 je zote zilitoka Pemba? Kuna ajabu gani apo??? Je mmeshasahau kuwa Mbowe alipata Kura laki sita na akapata wabunge 5 bara!! au kumbukumbu yenu ni haba enyi wana wa kizazi hiki???:nono: UMATI WOTE ULE!!! JE KAMA TULITAKA KUMFAHAMU??? WENGI WA WANAOSEMA HAPA WAKO NJE YA NCHI:doh: SASA KURA HAWAKUPIGA NA WANAKUWA WA KWANZA KUKATAA MATOKEO. Nilipopigia kura tuliamini Slaa ameshinda, lakini mwisho wa matokeo yalitushangaza KINYUMENYUME bin KIZUNGUZUNGU. Kuna mambo mengi yametuangusha na yataangusha sana UPINZANI. lakini watu hawataki kutafakari. (hakuna anaejiuliza wakala alieshinda njaa alipelekewa chakula na nani? kwanini alisaini matokeo yasiokuwa. Leo mtu anakurupuka huko na kuleta "....UONGO hapa ACHENI kabisa... TENA MKOME.." Mkapa - Jangwani
 
matokeo yaliyotolewa mpaka leo usiku na nec ni kuwa kikwete aongoza urais, lipumba wa cuf wa pili na slaa wa tatu!

Imegundulika kuwa kuna mwafaka wa siri wa tanzania bara kati ya ccm na cuf. Mwafaka huo baada ya makubaliano ya kuunda serikali ya mseto zanzibar ni kumtangaza kikwete mshindi wa urais akifuatiwa na lipumba wa cuf na slaa awe mshindi wa tatu. Lengo kuu ni kuwa kwa slaa kuwa mshindi wa 3 itakuwa ni "win-win" situation kwa ccm na cuf.

Ccm inamhofu slaa na chadema kuwa ndiyo kiongozi na chama kinachoweza kuing'oa madarakani. Viongozi wa cuf wana wivu/chuki na chadema kwa kuwa wameona kimechukua nafasi ya cuf kama chama kikuu cha upinzani tanzania. Hivyo basi, kwa ku distort matokeo ya kura za urais na kumfanya lipumba mshindi wa pili inaonekana ni mbinu ya kuimaliza chadema kisiasa.

Mkakati huo unaendana na nec kuagizwa kutoa matokeo ya kura za urais kutoka kwenye mikoa ambayo ni ngome za ccm na cuf kama zanzibar, mikoa ya kusini lindi na mtwara, morogoro, tanga, dodoma, singida, etc.


lengo ni kuwaandaa watanzania kisaikolojia kuwa tayari kikwete atashinda urais na lipumba atakuwa mshindi wa pili.


matokeo kutoka mikoa ambayo slaa ana nguvu sana na amezoa kura nyingi za urais kama dar, kanda ya ziwa, kaskazini na nyanda za juu kusini yamezuiliwa yasitoke. Hii inawapa ccm muda kucheza na matokeo kwenye mikoa hiyo muhimu yenye population ya zaidi ya 8 million people ili hatimaye kuja na matokeo ya mwisho yanayofanana na haya ya sasa hivi kutoka mikoa ya ccm na cuf yenye population ya watu kama 1 million tu.


zifuatazo ni source kutoka website ya tbc1 (nimeambatanisha snaposhot ya website) na story ya afp inayo onesha kuwa slaa sasa is a "distant third" in the presidential race.


mpo hapo?

afp: Tanzanian president shows strong lead in poll results

tbc1.jpg

naomba kabla ya kuchangia hoja hii tufanye utafiti kidogo. Nilisikia nec walitangaza matokeo ya uraisa kwa jimbo la hai kuwa kiwete kapata kura zaidi 30000 na dr slaa kama elfu na kitu, katika jimbo la mwenyekiti wa chadema ambapo ameshinda. Kama waliomchagua freemana mbowe pia walimchagua dr slaa nian amini kuwa kura za dr slaa zilipaswa kuwa nyingi zaidihii ni rahisi tunaomba mawakala wa freeman mbowe watufahamishe kwa mujibu wa takwimu zao dr slaa alipata kura ngapi katika jimbo hilo.

Pia ni vyema kama chadema ingetoa idadi ya kura za dr slaa kwa mujibu wa mawakala wao kama alivyofanya john mnyika ubungo. Ile ilisaidia sana kukabiliana uchakachuaji
.
 
Swali ni kuwa, baada ya hapa, Kikwete ataweza kuliongoza taifa hili kwa ufanisi? Tukumbuke ahadi kem kem alizotoa na vile vile tusisahau tabia ya ccm ya ufisadi. Nionavyo mimi ni kuwa Watanzania waliomchagua watajutia kitendo hicho cha kumchagua kwani maisha yao yatazidi kuwa magumu kuliko yalivyo sasa hivi.


Tatizo la kwanza tayari, inavyoonekana ni kama tupo kwenye mgawo wa umeme likely sababu ya ukame .....Maana umeme umekuwa ukikatika kwa muda mrefu bila maelezo yoyote. Nadhani wakishaapishana watadeclare kuwa kuna mgawo.
 
Their "CCM" ending is near, we're coming to kick them badly out of the magogoni house, coz we don't want the den of thieves in the big office anymore, we don't want the group of witches providing unseen security to the President anymore. These witches provide this service at the expense of Tanzanians tax, and this make us all witches what an insult, i'm saying Kikwete and his government of CCM are insulting Tanzanians and need to be kicked out of the big office.
 
Back
Top Bottom