Tatizo letu ni "UKUVI" (UKOSEFU WA KUMBUKUMBU VICHWANI) la si hivyo MAPENZI YETU YANAPITILIZA, napenda tusimame kwenye ukweli. uchaguzi uliopita CHADEMA ilipata kura laki sita na ushei ikapata wabunge 5 bara hakuna alielalamika kwamba CUF imepata kura milioni moja na ushei bara bila mbunge hata mmoja... HIVI HATA KAMA KUSOMA HAMJUI JE MNASHINDWA KUSOMA PICHA PIA:doh: mkiambiwa KATIBA IBADILIKE ninyi MNAWAZA KUKIMBIA KABLA YA KUTAMBAA:smile-big: au hamjui TUME inabadiishwa na katiba??CCM watakuwa hawakupitia hesabu za kubalance chemical equation bse bara CHADEMA bara wanaongoza kuliko cuf kwa upande wa ubunge
nimelog in just kugonga thanks kwa mwamkoKILA JAMBO SIKU ZOTE LINA MWISHO I HATE KIKWETE NA UTAWALA WAKE :A S angry:
hata mungu anataka utete haki zako usiwe kimya wakati unapokonywa haki zako na ww unasema tuombe mungu
Matokeo yaliyotolewa mpaka leo usiku na NEC ni kuwa Kikwete aongoza Urais, Lipumba wa CUF wa pili na Slaa wa tatu!
Imegundulika kuwa kuna MWAFAKA WA SIRI WA TANZANIA BARA kati ya CCM na CUF. Mwafaka huo baada ya makubaliano ya kuunda serikali ya mseto Zanzibar ni kumtangaza Kikwete mshindi wa Urais akifuatiwa na Lipumba wa CUF na SLAA awe mshindi wa tatu. Lengo kuu ni kuwa kwa SLAA kuwa mshindi wa 3 itakuwa ni "win-win" situation kwa CCM na CUF.
Fareed, wewe si mwanamageuzi bali ni sisiem damu tena tunakujua vema na wala ustake kuturudisha nyuma. Wakati cuf ilipokuwa na nguvu katika chaguzi zilizopita, mliwaambia cuf kuwa chadema, nccr, tlp wana muafaka wa siri na ccm na hata vyama hivyo vilimezwa sumu ya kuwa cuf ni chama cha kidini, vijana wahuni na cha kigaidi. Juhudi mlizifanya mkadhoofisha cuf na ku-rise up chadema. Now chadema ina nguvu mnakuja tena na hoja ya cuf wana muafaka na ccm ili kudhoofisha Chadema. Enyi wana Jamii Forum-Are you surely GREAT THINKERS hata mkamsupport huyu fareed? Mmesahau kontena la visu bluu vya cuf alilolitangaza Jambazi mahita? Somo la uchaguzi huu ni kuwa ccm inaweza kuondolewa madarakani ikiwa juhudi za kweli na za pamoja za upinzani kuunganisha watanzania regardless their religion or region even zones. Mimi navyoona, chadema na cuf wote ni wapinzani wa kweli na walioonja machungu ya kuwa wapinzani, kwa nini historia ya wakoloni na babu zetu isitufundishe namna ya kuiondoa ccm? Kama issue ni dini, hizi dini hazitakuwa kitu kimoja abadan, lakini kama issue ni ukombozi wa maendeleo ya watanzania! this will be simple like copy an paste without opening new window. Ivi wana JF, bado tu hamna majibu ya kwanini mikoa hii ya Lindi, Mtwara, singida Zanzibar matokeo ya urais yanatangazwa mapema?
:smile-big: nimisema...... wao wanataka ya tu wanayoyataka yani apo:nono: heri mimi sijasema! (WAMESAHAU KULE VIJIJINI MPAKA LEO WANACHAGUA CHAMA CHA NYERERE NA NDIO KWENYE KURA NYINGI... jamani mbona mnashindwa kutofautisha kichuguu na mlima. (TUNAHITAJI MABADILIKO lakini tunahitaji KUJIPANGA. wengi wetu tumekuwa bendera fata upepo:A S angry: sijui ni uwezo wa kufikiri umefika ukomo???:A S angry::doh:Luteni,
Heshima yako.
Nadhani ukisoma tena utaona hayo maneno sio ya Fareed bali ametoa kwenye source ya AFP.
Wewe nawe umetuletea source nyengine. Kwa hivyo ni source mbili na two differetn stories
but the fact is that Kikwete anaongoza na atashinda akitangazwa hapo ijumaa.
You are simply being prepared for the eventuality.
SUPPORT!! huu ndio ukweli wenyewe... 1992 - 2015 kizazi kipya hakiijui sisiemu wala tanu na asp:smile-big:mambo ni 2015 jamani
Msimamo mpaka jana usiku ndiyo huu hapa!!!!
matokeo yaliyotolewa mpaka leo usiku na nec ni kuwa kikwete aongoza urais, lipumba wa cuf wa pili na slaa wa tatu!
Imegundulika kuwa kuna mwafaka wa siri wa tanzania bara kati ya ccm na cuf. Mwafaka huo baada ya makubaliano ya kuunda serikali ya mseto zanzibar ni kumtangaza kikwete mshindi wa urais akifuatiwa na lipumba wa cuf na slaa awe mshindi wa tatu. Lengo kuu ni kuwa kwa slaa kuwa mshindi wa 3 itakuwa ni "win-win" situation kwa ccm na cuf.
Ccm inamhofu slaa na chadema kuwa ndiyo kiongozi na chama kinachoweza kuing'oa madarakani. Viongozi wa cuf wana wivu/chuki na chadema kwa kuwa wameona kimechukua nafasi ya cuf kama chama kikuu cha upinzani tanzania. Hivyo basi, kwa ku distort matokeo ya kura za urais na kumfanya lipumba mshindi wa pili inaonekana ni mbinu ya kuimaliza chadema kisiasa.
Mkakati huo unaendana na nec kuagizwa kutoa matokeo ya kura za urais kutoka kwenye mikoa ambayo ni ngome za ccm na cuf kama zanzibar, mikoa ya kusini lindi na mtwara, morogoro, tanga, dodoma, singida, etc.
lengo ni kuwaandaa watanzania kisaikolojia kuwa tayari kikwete atashinda urais na lipumba atakuwa mshindi wa pili.
matokeo kutoka mikoa ambayo slaa ana nguvu sana na amezoa kura nyingi za urais kama dar, kanda ya ziwa, kaskazini na nyanda za juu kusini yamezuiliwa yasitoke. Hii inawapa ccm muda kucheza na matokeo kwenye mikoa hiyo muhimu yenye population ya zaidi ya 8 million people ili hatimaye kuja na matokeo ya mwisho yanayofanana na haya ya sasa hivi kutoka mikoa ya ccm na cuf yenye population ya watu kama 1 million tu.
zifuatazo ni source kutoka website ya tbc1 (nimeambatanisha snaposhot ya website) na story ya afp inayo onesha kuwa slaa sasa is a "distant third" in the presidential race.
mpo hapo?
afp: Tanzanian president shows strong lead in poll results
Swali ni kuwa, baada ya hapa, Kikwete ataweza kuliongoza taifa hili kwa ufanisi? Tukumbuke ahadi kem kem alizotoa na vile vile tusisahau tabia ya ccm ya ufisadi. Nionavyo mimi ni kuwa Watanzania waliomchagua watajutia kitendo hicho cha kumchagua kwani maisha yao yatazidi kuwa magumu kuliko yalivyo sasa hivi.