Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Baada ya tukio la kule U.S kumhusu mzee Trump, naomba kujua juu ya hawa wanaotajwatajwa kwa jina la "Secret Service". Huwa ni watu gani hawa, na majukumu yao ni yapi. Je, hapa kwetu Tanzania, wapo?