Secretarybird nahitaji ushauri nasaha, no reforms no election imenitia matatani

Binti yule nampenda na siko tayari nimwache jamini.
---
Hongera kwa ubunifu wa simulizi yako, ili kufikisha ujumbe wa NRNE kwa kila njia, hata wale wa MMU ambao huwa hawafungui thread za SIASA, habari ya NRNE wameipata vyema, narudia tena, hongera kwa kutimiza jukumu lako la msingi kama kijana unayejitambua, hakika JF vipaji vipo.
---
Turudi kwenye thread:
Uamuzi ni wako. Kauli yako kwamba "unampenda na hauko tayari kumwacha" inakuelekeza kwenye Chaguo 1. Acha siasa, ondoa tattoo, na umpokee tena. Kinyume chake ni kumchagua "No Reforms, No Election" badala yake.​
 
---
Hongera kwa ubunifu wa simulizi yako, ili kufikisha ujumbe wa NRNE kwa kila njia, hongera kwa kutimiza jukumu lako la msingi kama kijana unayejitambua, hakika JF vipaji vipo.
---
Turudi kwenye thread:
Uamuzi ni wako. Kauli yako kwamba "unampenda na hauko tayari kumwacha" inakuelekeza kwenye Chaguo 1. Acha siasa, ondoa tattoo, na umpokee tena. Kinyume chake ni kumchagua "No Reforms, No Election" badala yake.​
Mi nachagua no reforms no election 💪
 
Jina lake Lina maana Sana ushawai jiuliza maana ya secretarybird Lina maana kubwaa..

😁 Mnafanana miandiko
Na fanana na nani mwandiko 😂? Ndege huyu ambaye Hana shamba lakini anakula na kushiba ?

Niliwahi soma kiswahili advance na yeye ni mtaalamu wa kiswahili kwahiyo inaweza elekea tukawa na mfanano kiasi,

Pia nakipenda kiswahili,
 
Asalamaleku wakuu!

Wakuu naombeni mnipe ushauri Kwa hili lililonitokea maana yaonekana nimejichanganya na masikitiko pamoja na majuto yamenijaa hadi pomoni.

Kama mnavyojua sasa hivi Kuna vuguvugu la "no reforms no election" na mimi ni mmoja wa mtu ninayeunga mkono hii movement na katika kudhihirisha hili, niliamua kwenda kwa mchora tattoo kwa lengo la kunichorea maneno yatakayosomeka "no reforms no election" katika mwili wangu.

Mungu si Athuman mchora tattoo alikubali kuichora hiyo tattoo kwa gharama ndogo tu niliyoona nitaimudu. Kwa kuwa lengo langu ni kuwa-inspire watanzania kuunga mkono harakati ya kutoshiriki uchaguzi pasipokufanyika kwa reforms niliona bora nichore hiyo tattoo kwenye eneo ambalo watu wangeona, na kupitia umaarufu wangu wakaunga juhudi ya kustopisha uchaguzi wa October.

Baada ya kufikiria kwa muda mrefu juu ya sehemu gani ya ambapo hiyo tattoo ingekaa ili ionekane kirahisi, nikaamua kuichora juu kidogo ya uume (dushelele), yaani chini kidogo ya kitovu huku nikilenga kuwafanya watoto wa kike na wanawake wengine wengi watakaoshiriki nami tendo la kudinyana wahamsike na harakati ya no reforms no election.

Yaani nakuambia mchora tattoo alininyooshea tattoo vilivyo na kwa vile mimi nina rangi ya maji ya kunde basi tattoo ilionekana vema ni hayo ndiyo yalikuwa matamanio yangu (hata wewe ungeona ungeifurahiq na kuitamani).

Kwa vile tattoo ilikuwa mpya nikasema mke wangu mtarajiwa (amabaye ni binti wa mbunge mmoja wa CCM) awe wa kwanza kuuona na kweli nilimwita ghetto ili nimchakate. Mtoto wa watu alikuja bila hiana na kimoyomoyo nikajisemea kuwa huyu mtoto leo namdinya hadi kwa kinywa chake atamke "no reforms no election".

Matarajio yangu yaligonga mwamba pale nilipovua nguo zangu tayari kwa kumwandaa wife mtarajiwa kwa ajili ya kumkunja kama kambale kwani mara tu alipoona maandishi mazuri yaliyosomeka "no reforms no election" alikunja uso kama ganda la limao akaanza kulalamika eti anataka kumpigia baba yake simu na kumtaarifu yanayoonekana katika ukingo wa nyeti yangu.

Nipende kuwaambia tu kuwa binti yule nilimbembeleze vya kutosha lakini akakataa kata kata, jambo lililonifanya nisikitike sana hata nikashindwa kula hasa ukizingatia kuwa ni binti ambaye nimepanga kumweka ndani kama wife.

Ninawasiwasi kuwa huenda yule binti ni mtoto wa mheshimiwa ambaye hapa JF anajiita Tlaatlaah chawa mwenye msimamo mkali anayeshirikiana na Lucas Mwashambwa mwenyekiti wa kitongoji fulani kule mbozi pamoja na bwana ChoiceVariable ambaye ni balozi wa nyumba kumi.

Sasa wakuu naombeni mnishauri juu ya sakata hili maana Niko katika hali isiyoridhisha. Hebu nipeni ushauri nasaha juu ya jambo ninalotakiwa nifanye ili maisha yasonge.

Binti yule nampenda na siko tayari nimwache jamini.

Natanguliza shukrani.
Mwambje Oktoba hakuna kutick
 
Ungechora usoni ningekuelewa kwanini huko?Hujui kuwa hii ni kampeni tukuka?
 
Back
Top Bottom