Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kama anajua No Reform no Election automatically huyo ni GeniusKila siku najua kuwa wewe hauna akili ila sikujua kama hauna akili kiasi hiki ..
Kama anajua No Reform no Election automatically huyo ni GeniusKila siku najua kuwa wewe hauna akili ila sikujua kama hauna akili kiasi hiki ..
Endeleza No reform hata kwa Wale wanaojiuza Buguruni wapate ujumbeNaishi na haya maneno mkuu.
Kamwe sitaachana na no reforms no election 💪.
Hahaha 😂🤣.Kila siku najua kuwa wewe hauna akili ila sikujua kama hauna akili kiasi hiki ..
Kwa kosa gani?Kumbe!! Kuanzia leo mampiga chini mchepuko wangu.
Anatoka kwenye familia ya Wana CCM hivyo lazima ameshaambiwa no reforms no election ni mdude mbaya sana.Kama anajua No Reform no Election automatically huyo ni Genius
Hii kampeni tuiendeleza kwa Kila mbinu inayowezekana no matter what.Endeleza No reform hata kwa Wale wanaojiuza Buguruni wapate ujumbe
Mimi niko field na hii slogan.Hii kampeni tuiendeleza kwa Kila mbinu inayowezekana no matter what.
Do your best mkuu, hii nchi lazima tuitoe katika mikono ya wakora.Mimi niko field na hii slogan.
Wakora wamejaa......hahahaDo your best mkuu, hii nchi lazima tuitoe katika mikono ya wakora.
Kabisa.Wakora wamejaa......hahaha
HeheheheNaomba mtoa mada asikasirikiwe tafadhali!
Kila mtu atachanganyikiwa tu kwa wakati wake, ni suala la kuupa muda wakati.
Tusubiri kuona dushelele la ndege🙊Nitaiweka kesho, sasa hivi niko gizani.
Mwambie Binti Sayunii na Anastasia21 wakae mkao wa kula kuisubiria hiyo picha yenye maneno ya kizalendo yanayosomeka no reforms no election.
Stay tunedTusubiri kuona dushelele la ndege🙊
Hii ni story ya ukweli na uhakikaKuna wanajua kutunga humj jukwaani ila ndege wewe kiboko😅😅😅
😂😂😂🤣🤣Hahaha 😂🤣.
Naambatanisha campaign ya no reforms no election pamoja na kampeni ya kuwataka mods wamwachie/wamfungulie bibie BICHWA KOMWE.
#freeBICHWA KOMWE.
Cc DIVISHENI FOO
Ndege mjanja sana weweHii ni story ya ukweli na uhakika