Secretarybird nahitaji ushauri nasaha, no reforms no election imenitia matatani

Binti yule nampenda na siko tayari nimwache jamini.
---
Hongera kwa ubunifu wa simulizi yako, ili kufikisha ujumbe wa NRNE kwa kila njia, hata wale wa MMU ambao huwa hawafungui thread za SIASA, habari ya NRNE wameipata vyema, narudia tena, hongera kwa kutimiza jukumu lako la msingi kama kijana unayejitambua, hakika JF vipaji vipo.
---
Turudi kwenye thread:
Uamuzi ni wako. Kauli yako kwamba "unampenda na hauko tayari kumwacha" inakuelekeza kwenye Chaguo 1. Acha siasa, ondoa tattoo, na umpokee tena. Kinyume chake ni kumchagua "No Reforms, No Election" badala yake.​
 
Mi nachagua no reforms no election πŸ’ͺ
 
Jina lake Lina maana Sana ushawai jiuliza maana ya secretarybird Lina maana kubwaa..

😁 Mnafanana miandiko
Na fanana na nani mwandiko πŸ˜‚? Ndege huyu ambaye Hana shamba lakini anakula na kushiba ?

Niliwahi soma kiswahili advance na yeye ni mtaalamu wa kiswahili kwahiyo inaweza elekea tukawa na mfanano kiasi,


Pia nakipenda kiswahili,
 
Asante sana mkuu japokuwa kilichonifanya niichore ile tattoo ni mbege niliyopewa na Harmful lakini yote kwa yote no reforms no election πŸ’ͺ.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hivi Ile mbege iliwekwa nini me mwenyewe nimefanya jambo la ajabu sana siwezi kulisimuliaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwambje Oktoba hakuna kutick
 
Ungechora usoni ningekuelewa kwanini huko?Hujui kuwa hii ni kampeni tukuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…