Secretarybird nahitaji ushauri nasaha, no reforms no election imenitia matatani

Hii ni chai kama kweli weka picha, na iwe wide angle tuone kila kitu.


NRNE ✌🏽
 
Huyo yupo na asili ya uchawi achana naye, maana hajui kesho mtakua na familia na kati ya familia yenu yoyote anaweza kuwa katika chama ambacho kipindi hicho kitakua madarakani so kama ni mwanae atamkana?

Pili no reform no election ipo na shida gani kama mtu sio mchawi kwa taifa hili.

Mungu atakupa mwingine wa viwango vya juu ,uyo kimbwengo piga chini,

Mimi wazazi wangu ni ccm kwelikweli, wazazi wakisafiri wanaweza sahau vitambulisho vingine ila sio kadi ya ccm. Nawapenda sana kama wazazi wangu nao wananipenda sana kama mtoto wao na wanajua sipo upande wa ccm, na ukikuta tunataniana utacheka ,

Juzi mzee wangu kanipigia sim akiniita we mzee wa no reforms no election hujambo , nikamwambia ngoma ipo paleple mzee ,akacheka sana,then tukaingia kwenye mazungumzo ya mtoto na wazazi wake.

Sasa wako uyu kama jambo dogo tu anafura badala ya kukupa faraja wa kwa kile ukipendacho kama me wake mtarajiwa wa nini sasa ,hakupendi huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…