secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Ukusoma form 1 solar systemWakuu, baada ya ubishi mkubwa kuhusu suala la Dunia kujizungusha kwenye muhimili wake kutawala humu JF na kote vijiweni secretarybird, niliamua kufanya utafiti, ili kuwaleteeni majibu sahihi juu ya sintofahamu hii, ili sote humu na vijiweni tuongee lugha Moja juu ya iwapo Dunia inajizungusha kwenye muhimili wake au la.
Utafiti nilioufanya haukuhitaji hata Senti Moja bali ni akili tu ndiyo iliyotumika. Ona hapa π nilichokifanya.
Ilipofika saa moja jioni, niliketi chini ya mti huku nafuturu. Nikaona nyota inayon'gaa kuliko nyota zingine upande wa magharibi, nilipoichunguza kwa makini nikaona kama ile nyota inazidi kusogea chini. Nilitulia pale pale na kukokaa macho kuifuatilia ile nyota kwa umakini mkubwa huku nikihesabu dakika ambazo ile nyota ilitumia hadi ikazama katika ncha ya Dunia. Ile nyota ilitumia dakika 15 pekee.
Siku ya pili niliporudi nyumbani kutoka kazini, nikakaa tene chini ya ule mti sehemu (point) ileile niliyokaa wakati nachunguza nyota huku nikisubiri jua nalo lifike pale nilikotaka. Jua ulipofika kwenye ili point ambako nyota ilikuwepo ile siku ya kwanza nikaanza kuhesba dakika ambazo jua lingetumia hadi kutua katika ncha ya Dunia. Zikapatikana dakika 15 π₯. Nilianza kushangilia huku nikajipiga kifua kuashiria kuwa Mimi ni mwamba......mke na watoto wangu wakanishangaa hata wakasema, "baba amewehuka", ila Mimi sikujali.
Nikajiuliza swali lifuatayo na kujipatia jibu mwenyewe maana 'katika somo la jiografia Mimi si haba'.
Swali, je, kati ya jua na nyota zingine (maana jua nalo ni nyota) kipi Kiko juu (mbali) kuliko kingine. Jibu, 'NYOTA'.
Swali hili βοΈ na jibu lake lilifanya niwe na uhakika kuwa kweli Dunia inajizungusha kwenye muhimili wake na kufanya tupate usiku na mchana, kwani Dunia isingekuwa inajizungusha kwenye muhimili wake Nyota, ambayo iko mbali ingetumia muda mrefu kuzama kuliko jua ambalo liko karibu. Kwa hiyo kutenda Cha jua na Dunia kuonekana kuwa na Kasi sawa kwa monekano wa kawaida (japo kuwa havizunguki) kinadhihirisha kuwa Dunia ndiyo inayojizungusha.
Ebahna akili ni nywele.
Mwisho kabisa, nawakaribisha wataalamua wa haya mambo waje wagongelee msumari hiki nilichokieleza.
DR Mambo Jambo,
Kiranga,
Yoda,
Xi Jinping,
adriz,
Mbaga Jr,
Dr am 4 real PhD,
MENEMENE TEKERI NA PERESI na wengine wengi.
Nimefurahia sana tafti yako ila nimesikitika sababu umenikosea heshima kabisa ,mimi na akili zangu kubwa ilibidi walau kwenye list ya washiriki uliowakaribisha uniweke namba moja sasa umeniweka namba mwisho ikimaqnisha mimi si lolote wala chochote katika harkati hizi za kiutafitiWakuu, baada ya ubishi mkubwa kuhusu suala la Dunia kujizungusha kwenye muhimili wake kutawala humu JF na kote vijiweni secretarybird, niliamua kufanya utafiti, ili kuwaleteeni majibu sahihi juu ya sintofahamu hii, ili sote humu na vijiweni tuongee lugha Moja juu ya iwapo Dunia inajizungusha kwenye muhimili wake au la.
Utafiti nilioufanya haukuhitaji hata Senti Moja bali ni akili tu ndiyo iliyotumika. Ona hapa π nilichokifanya.
Ilipofika saa moja jioni, niliketi chini ya mti huku nafuturu. Nikaona nyota inayon'gaa kuliko nyota zingine upande wa magharibi, nilipoichunguza kwa makini nikaona kama ile nyota inazidi kusogea chini. Nilitulia pale pale na kukokaa macho kuifuatilia ile nyota kwa umakini mkubwa huku nikihesabu dakika ambazo ile nyota ilitumia hadi ikazama katika ncha ya Dunia. Ile nyota ilitumia dakika 15 pekee.
Siku ya pili niliporudi nyumbani kutoka kazini, nikakaa tene chini ya ule mti sehemu (point) ileile niliyokaa wakati nachunguza nyota huku nikisubiri jua nalo lifike pale nilikotaka. Jua ulipofika kwenye ili point ambako nyota ilikuwepo ile siku ya kwanza nikaanza kuhesba dakika ambazo jua lingetumia hadi kutua katika ncha ya Dunia. Zikapatikana dakika 15 π₯. Nilianza kushangilia huku nikajipiga kifua kuashiria kuwa Mimi ni mwamba......mke na watoto wangu wakanishangaa hata wakasema, "baba amewehuka", ila Mimi sikujali.
Nikajiuliza swali lifuatayo na kujipatia jibu mwenyewe maana 'katika somo la jiografia Mimi si haba'.
Swali, je, kati ya jua na nyota zingine (maana jua nalo ni nyota) kipi Kiko juu (mbali) kuliko kingine. Jibu, 'NYOTA'.
Swali hili βοΈ na jibu lake lilifanya niwe na uhakika kuwa kweli Dunia inajizungusha kwenye muhimili wake na kufanya tupate usiku na mchana, kwani Dunia isingekuwa inajizungusha kwenye muhimili wake Nyota, ambayo iko mbali ingetumia muda mrefu kuzama kuliko jua ambalo liko karibu. Kwa hiyo kutenda Cha jua na Dunia kuonekana kuwa na Kasi sawa kwa monekano wa kawaida (japo kuwa havizunguki) kinadhihirisha kuwa Dunia ndiyo inayojizungusha.
Ebahna akili ni nywele.
Mwisho kabisa, nawakaribisha wataalamua wa haya mambo waje wagongelee msumari hiki nilichokieleza.
DR Mambo Jambo,
Kiranga,
Yoda,
Xi Jinping,
adriz,
Mbaga Jr,
Dr am 4 real PhD,
MENEMENE TEKERI NA PERESI na wengine wengi.
SAMAHANI mkuu, πππ€£.Naomba msiniite kwenye hizi mada za uchwara uchwara πππ
π₯Umetumia methodology gani?
Nilisoma.Ukusoma form 1 solar system
Sky nyingine notakuweka wa kwanza kaka.Nimefurahia sana tafti yako ila nimesikitika sababu umenikosea heshima kabisa ,mimi na akili zangu kubwa ilibidi walau kwenye list ya washiriki uliowakaribisha uniweke namba moja sasa umeniweka namba mwisho ikimaqnisha mimi si lolote wala chochote katika harkati hizi za kiutafiti
Hapo sawa sasaSky nyingine notakuweka wa kwanza kaka.
Pamoja mkuu.Hapo sawa sasa
Naomba radhi kuziita hizi mada za uchwara uchawa, ni ubinadamu tu, nilikuwa katika mood mbaya πππSAMAHANI mkuu, πππ€£.
Kwangu Mimi ni utafiti, sijui kwa wengine.Sasa huu n utafiti au porojo tu
Wala haina shida mkuu. Siwezi nikamaindi kisa utani π.Naomba radhi kuziita hizi mada za uchwara uchawa, ni ubinadanu tu, nilikuwa katika mood mbaya πππ
Kaka,Wakuu, baada ya ubishi mkubwa kuhusu suala la Dunia kujizungusha kwenye muhimili wake kutawala humu JF na kote vijiweni secretarybird, niliamua kufanya utafiti, ili kuwaleteeni majibu sahihi juu ya sintofahamu hii, ili sote humu na vijiweni tuongee lugha Moja juu ya iwapo Dunia inajizungusha kwenye muhimili wake au la.
Utafiti nilioufanya haukuhitaji hata Senti Moja bali ni akili tu ndiyo iliyotumika. Ona hapa π nilichokifanya.
Ilipofika saa moja jioni, niliketi chini ya mti huku nafuturu. Nikaona nyota inayon'gaa kuliko nyota zingine upande wa magharibi, nilipoichunguza kwa makini nikaona kama ile nyota inazidi kusogea chini. Nilitulia pale pale na kukokaa macho kuifuatilia ile nyota kwa umakini mkubwa huku nikihesabu dakika ambazo ile nyota ilitumia hadi ikazama katika ncha ya Dunia. Ile nyota ilitumia dakika 15 pekee.
Siku ya pili niliporudi nyumbani kutoka kazini, nikakaa tene chini ya ule mti sehemu (point) ileile niliyokaa wakati nachunguza nyota huku nikisubiri jua nalo lifike pale nilikotaka. Jua ulipofika kwenye ili point ambako nyota ilikuwepo ile siku ya kwanza nikaanza kuhesba dakika ambazo jua lingetumia hadi kutua katika ncha ya Dunia. Zikapatikana dakika 15 π₯. Nilianza kushangilia huku nikajipiga kifua kuashiria kuwa Mimi ni mwamba......mke na watoto wangu wakanishangaa hata wakasema, "baba amewehuka", ila Mimi sikujali.
Nikajiuliza swali lifuatayo na kujipatia jibu mwenyewe maana 'katika somo la jiografia Mimi si haba'.
Swali, je, kati ya jua na nyota zingine (maana jua nalo ni nyota) kipi Kiko juu (mbali) kuliko kingine. Jibu, 'NYOTA'.
Swali hili βοΈ na jibu lake lilifanya niwe na uhakika kuwa kweli Dunia inajizungusha kwenye muhimili wake na kufanya tupate usiku na mchana, kwani Dunia isingekuwa inajizungusha kwenye muhimili wake Nyota, ambayo iko mbali ingetumia muda mrefu kuzama kuliko jua ambalo liko karibu. Kwa hiyo kutenda Cha jua na Dunia kuonekana kuwa na Kasi sawa kwa monekano wa kawaida (japo kuwa havizunguki) kinadhihirisha kuwa Dunia ndiyo inayojizungusha.
Ebahna akili ni nywele.
Mwisho kabisa, nawakaribisha wataalamua wa haya mambo waje wagongelee msumari hiki nilichokieleza.
DR Mambo Jambo,
Kiranga,
Yoda,
Xi Jinping,
adriz,
Mbaga Jr,
Dr am 4 real PhD,
MENEMENE TEKERI NA PERESI na wengine wengi.
πππ. Wakuu wameshaanza kunikatisha tamaa.Mkuu Tukupe namba ya NASA
Hao hawataki kuona watafiti wa bongo Wakifika mbaliπππ. Wakuu wameshaanza kunikatisha tamaa.
Fanya hivyo mkuu, uje na mrejesho.Kaka,
Ntafanyia KAZI utafiti wako practically hakika ntaleta mrejesho..
Nakumbuka form two Kuna lile swali PROVE / EVIDENCE SHOWS THE EARTH IS SPHERICAL IN SHAPE.
CIRCUMNAVIGATION OF THE EARTH
SHIPS VISIBILITY
SUNRISE AND SUNSET
LUNAR ECLIPSE
NK.
NB. Evidence kuonyesha Dunia inajizungusha kwenye muhimili wake zipo nne kuu.
*DAY AND NIGHT
*SETTELLITE
*STARS MOVEMENTS
*Upepo na bahari