Secta Binafsi, Watanzania Tumiliki Uchumi pia tuchangamkie Fulsa

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
710
Reaction score
1,366
Moja kwa moja naenda kwenye Hoja,

Watanzania tuchangamkie Fulsa Tele ambao zimejaa nchini ili Sisi wenyewe Tumiliki Uchumi

Tuache kulalamika au kubagaza wenzetu kama kina Rostam ambao wanachangamkia Fulsa na kuwekeza, Zaidi Watanzania wenzetu wanapata Ajira za kutosha na Serikali kupata Mapato

Tunaitaji kuona wageni na kumiliki Uchumi na kuhamisha pesa zote?

Watanzania tunampenda kuona mgeni akilimiki au kupewa kipaumbele na tupo kimya lakini kipambule hicho akipewa Manzanita kama Rostam,Rugemalira,Mengi,Mufuruki na wengine tunakuwa na wivu na kuzusha maneno ya uongo

Rai yangu kwa Watanzania wote,Sasa hivi Secta Binafsi imefunguka Sana Nchini

Naomba Watanzania hasa wale wajasiriamali tuache kulalamika na hatimaye tuchangamkie Fulsa zilizopo

Heri hawa wazawa ambao Serikali inawawezesha maana pesa zitabaki nchini,Watanzania kupata Ajira na Serikali kupata Mapato

Kuliko hizo Fulsa kupewa wageni na Uchumi wote kwenda kunufaisha Nchi zao

Secta Binafsi ndo Roho ya Nchi maana asilimia 70 au 80 tunategemea hii secta

Furaha yangu kuona Watanzania wengi zaidi wakipewa kipaumbele kwenye hii secta

Shime,Tuache kulalamika
 
Kama mnapata Raisi anakuja kupambana na sekita binafsi na anashabikiwa na raia unategemea nini, JPM aliuua private sector alikua mshamba wa uchumi.
 
Nchi hii wanapenda unyonge. Ni ajabu sana kwa kweli.
Kilicho baki ni tupambana na tudai mazingira rafiki ya biashara basi. Kuwachukia matajiri hakutufanyi sisi kupata hela bali tunazidi kuwa masikini.
 
Ni kweli tusipo penda matajiri ni ujinga kwa mfano Rostom Azii kaajili watu zaidi ya 3000, tungekua na marostom 1000 tusingekua na matatizo ya ajira kwasbabu wange leta fursa nyingi za ajira
 
Ana chagua kuchukia achukie na anae chagua kufanya kazi afanye kazi maana maisha kila mtu na vipaumbele vyake.
Na pia watu lazima watambue mafanikio ni hatua, huyo Rostam waleo hajaaza leo.
 
Moja kwa moja naenda kwenye Hoja,

Watanzania tuchangamkie Fulsa Tele ambao zimejaa nchini ili Sisi wenyewe Tumiliki Uchumi

Tuache kulalamika au kubagaza wenzetu kama kina Rostam ambao wanachangamkia Fulsa na kuwekeza, Zaidi Watanzania wenzetu wanapata Ajira za kutosha na Serikali kupata Mapato

Tunaitaji kuona wageni na kumiliki Uchumi na kuhamisha pesa zote?

Watanzania tunampenda kuona mgeni akilimiki au kupewa kipaumbele na tupo kimya lakini kipambule hicho akipewa Manzanita kama Rostam,Rugemalira,Mengi,Mufuruki na wengine tunakuwa na wivu na kuzusha maneno ya uongo

Rai yangu kwa Watanzania wote,Sasa hivi Secta Binafsi imefunguka Sana Nchini

Naomba Watanzania hasa wale wajasiriamali tuache kulalamika na hatimaye tuchangamkie Fulsa zilizopo

Heri hawa wazawa ambao Serikali inawawezesha maana pesa zitabaki nchini,Watanzania kupata Ajira na Serikali kupata Mapato

Kuliko hizo Fulsa kupewa wageni na Uchumi wote kwenda kunufaisha Nchi zao

Secta Binafsi ndo Roho ya Nchi maana asilimia 70 au 80 tunategemea hii secta

Furaha yangu kuona Watanzania wengi zaidi wakipewa kipaumbele kwenye hii secta

Shime,Tuache kulalamika
Unataka kusema tuanze kushindana kwa kufanya wizi!? Hakuna chochote cha kuitwa kuchangamkia fursa hapo, isipokuwa kama nia yako ni kujenga taifa la wezi na vibaka.
 
Ana chagua kuchukia achukie na anae chagua kufanya kazi afanye kazi maana maisha kila mtu na vipaumbele vyake.
Na pia watu lazima watambue mafanikio ni hatua, huyo Rostam waleo hajaaza leo.
Huenda kapitia mengi hata kupita huyu mtanzania anae jidai kwamba ni mnyonge, juhudi za watu ni muhimu zitambuliwe
 
Kwa mtu yeyote anae jipambania anajua changamoto zilizopo kwenye utaftaji. Kupambana tu kufukisha mtaji wa 500M ni kazi na changamoto kibao, sembuse Rostam alipo.
 
Nchi hii wanapenda unyonge. Ni ajabu sana kwa kweli.
Kilicho baki ni tupambana na tudai mazingira rafiki ya biashara basi. Kuwachukia matajiri hakutufanyi sisi kupata hela bali tunazidi kuwa masikini.
Mnadhani katika nchi hii kila mtu lazima afanye biashara, awe kama Rostam Aziz, Bakhresa au awe mwizi kama Kizigha? Taifa hili lina wingi wa wataalamu, wakulima, wafugaji na aina mbalimbali za wafanyakazi. Ikiwa hamtaweka mazingira yatakayowawezesha kunufaika kupitia kazi zao, mnataka watembee kwa matumaini gani? Shida yenu ni mtazamo wa kitapeli, wizi na udalali pekee. Ndiyo maana hata hizo biashara mnazozifanya ni za kidalali tu, bila uvumbuzi wowote. Acheni upumbavu na upotoshaji.
 
Hahaaha kwahiyo chukulia leo hii Rostam amefilisika, hayo uliyo sema ndio yatabadilika?
Point hapa ni kuwa chukia matajiri.
 
Moja kwa moja naenda kwenye Hoja,

Watanzania tuchangamkie Fulsa Tele ambao zimejaa nchini ili Sisi wenyewe Tumiliki Uchumi

Tuache kulalamika au kubagaza wenzetu kama kina Rostam ambao wanachangamkia Fulsa na kuwekeza, Zaidi Watanzania wenzetu wanapata Ajira za kutosha na Serikali kupata Mapato

Tunaitaji kuona wageni na kumiliki Uchumi na kuhamisha pesa zote?

Watanzania tunampenda kuona mgeni akilimiki au kupewa kipaumbele na tupo kimya lakini kipambule hicho akipewa Manzanita kama Rostam,Rugemalira,Mengi,Mufuruki na wengine tunakuwa na wivu na kuzusha maneno ya uongo

Rai yangu kwa Watanzania wote,Sasa hivi Secta Binafsi imefunguka Sana Nchini

Naomba Watanzania hasa wale wajasiriamali tuache kulalamika na hatimaye tuchangamkie Fulsa zilizopo

Heri hawa wazawa ambao Serikali inawawezesha maana pesa zitabaki nchini,Watanzania kupata Ajira na Serikali kupata Mapato

Kuliko hizo Fulsa kupewa wageni na Uchumi wote kwenda kunufaisha Nchi zao

Secta Binafsi ndo Roho ya Nchi maana asilimia 70 au 80 tunategemea hii secta

Furaha yangu kuona Watanzania wengi zaidi wakipewa kipaumbele kwenye hii secta

Shime,Tuache kulalamika
Eti tuchangamkie fursa!? Fursa zipo na watu wanazichangamkia, lakini katika nchi yenye urasimu, rushwa, wizi, na utitiri wa kodi zisizo na kichwa wala miguu, changamoto ni kubwa. Watu wanapigania kuwepo na jukwaa bora na imara la kujenga uchumi endelevu, lakini ninyi mnaendelea kushikilia mentality za udalali na fikra finyu za hovyo kama hizi.
 
Hahaaha kwahiyo chukulia leo hii Rostam amefilisika, hayo uliyo sema ndio yatabadilika?
Point hapa ni kuwa chukia matajiri.
Hakuna mtu anayewachukia matajiri, Mzee. Tatizo ni kwamba unataka kumtumia mtu mmoja, Rostam, ku-generalize mambo. Mbona Rostam mwenyewe alishatajwa na akina Mengi kipindi kile kwa ufisadi wake? Kwa utajiri, umemzidi Mengi!?
 
Hizo ni mbinu za kibiashara. Hata Rostam anaweza akaibuka leo aka watuhumu wa shindani wake.
Hapa nadhani wa kulalamikiwa ni serikali sio huyu bwana na wengine. Mfanya biashara duniani kote ana tafta upenyo.
 
Kama mnapata Raisi anakuja kupambana na sekita binafsi na anashabikiwa na raia unategemea nini, JPM aliuua private sector alikua mshamba wa uchumi.
Acha ushamba na usimuhusishe JPM na vitu vya ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom