Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 710
- 1,366
Kama mnapata Raisi anakuja kupambana na sekita binafsi na anashabikiwa na raia unategemea nini, JPM aliuua private sector alikua mshamba wa uchumi.Moja kwa moja naenda kwenye Hoja,
Watanzania tuchangamkie Fulsa Tele ambao zimejaa nchini ili Sisi wenyewe Tumiliki Uchumi
Tuache kulalamika au kubagaza wenzetu kama kina Rostam ambao wanachangamkia Fulsa na kuwekeza, Zaidi Watanzania wenzetu wanapata Ajira za kutosha na Serikali kupata Mapato
Tunaitaji kuona wageni na kumiliki Uchumi na kuhamisha pesa zote?
Watanzania tunampenda kuona mgeni akilimiki au kupewa kipaumbele na tupo kimya lakini kipambule hicho akipewa Manzanita kama Rostam,Rugemalira,Mengi,Mufuruki na wengine tunakuwa na wivu na kuzusha maneno ya uongo
Rai yangu kwa Watanzania wote,Sasa hivi Secta Binafsi imefunguka Sana Nchini
Naomba Watanzania hasa wale wajasiriamali tuache kulalamika na hatimaye tuchangamkie Fulsa zilizopo
Heri hawa wazawa ambao Serikali inawawezesha maana pesa zitabaki nchini,Watanzania kupata Ajira na Serikali kupata Mapato
Kuliko hizo Fulsa kupewa wageni na Uchumi wote kwenda kunufaisha Nchi zao
Secta Binafsi ndo Roho ya Nchi maana asilimia 70 au 80 tunategemea hii secta
Furaha yangu kuona Watanzania wengi zaidi wakipewa kipaumbele kwenye hii secta
Shime,Tuache kulalamika
Nchi hii wanapenda unyonge. Ni ajabu sana kwa kweli.Kama mnapata Raisi anakuja kupambana na sekita binafsi na anashabikiwa na raia unategemea nini, JPM aliuua private sector alikua mshamba wa uchumi.
Ni kweli tusipo penda matajiri ni ujinga kwa mfano Rostom Azii kaajili watu zaidi ya 3000, tungekua na marostom 1000 tusingekua na matatizo ya ajira kwasbabu wange leta fursa nyingi za ajiraNchi hii wanapenda unyonge. Ni ajabu sana kwa kweli.
Kilicho baki ni tupambana na tudai mazingira rafiki ya biashara basi. Kuwachukia matajiri hakutufanyi sisi kupata hela bali tunazidi kuwa masikini.
Ana chagua kuchukia achukie na anae chagua kufanya kazi afanye kazi maana maisha kila mtu na vipaumbele vyake.Ni kweli tusipo penda matajiri ni ujinga kwa mfano Rostom Azii kaajili watu zaidi ya 3000, tungekua na marostom 1000 tusingekua na matatizo ya ajira kwasbabu wange leta fursa nyingi za ajira
Unataka kusema tuanze kushindana kwa kufanya wizi!? Hakuna chochote cha kuitwa kuchangamkia fursa hapo, isipokuwa kama nia yako ni kujenga taifa la wezi na vibaka.Moja kwa moja naenda kwenye Hoja,
Watanzania tuchangamkie Fulsa Tele ambao zimejaa nchini ili Sisi wenyewe Tumiliki Uchumi
Tuache kulalamika au kubagaza wenzetu kama kina Rostam ambao wanachangamkia Fulsa na kuwekeza, Zaidi Watanzania wenzetu wanapata Ajira za kutosha na Serikali kupata Mapato
Tunaitaji kuona wageni na kumiliki Uchumi na kuhamisha pesa zote?
Watanzania tunampenda kuona mgeni akilimiki au kupewa kipaumbele na tupo kimya lakini kipambule hicho akipewa Manzanita kama Rostam,Rugemalira,Mengi,Mufuruki na wengine tunakuwa na wivu na kuzusha maneno ya uongo
Rai yangu kwa Watanzania wote,Sasa hivi Secta Binafsi imefunguka Sana Nchini
Naomba Watanzania hasa wale wajasiriamali tuache kulalamika na hatimaye tuchangamkie Fulsa zilizopo
Heri hawa wazawa ambao Serikali inawawezesha maana pesa zitabaki nchini,Watanzania kupata Ajira na Serikali kupata Mapato
Kuliko hizo Fulsa kupewa wageni na Uchumi wote kwenda kunufaisha Nchi zao
Secta Binafsi ndo Roho ya Nchi maana asilimia 70 au 80 tunategemea hii secta
Furaha yangu kuona Watanzania wengi zaidi wakipewa kipaumbele kwenye hii secta
Shime,Tuache kulalamika
Huenda kapitia mengi hata kupita huyu mtanzania anae jidai kwamba ni mnyonge, juhudi za watu ni muhimu zitambuliweAna chagua kuchukia achukie na anae chagua kufanya kazi afanye kazi maana maisha kila mtu na vipaumbele vyake.
Na pia watu lazima watambue mafanikio ni hatua, huyo Rostam waleo hajaaza leo.
Kwa mtu yeyote anae jipambania anajua changamoto zilizopo kwenye utaftaji. Kupambana tu kufukisha mtaji wa 500M ni kazi na changamoto kibao, sembuse Rostam alipo.Huenda kapitia mengi hata kupita huyu mtanzania anae jidai kwamba ni mnyonge, juhudi za watu ni muhimu zitambuliwe
Mnadhani katika nchi hii kila mtu lazima afanye biashara, awe kama Rostam Aziz, Bakhresa au awe mwizi kama Kizigha? Taifa hili lina wingi wa wataalamu, wakulima, wafugaji na aina mbalimbali za wafanyakazi. Ikiwa hamtaweka mazingira yatakayowawezesha kunufaika kupitia kazi zao, mnataka watembee kwa matumaini gani? Shida yenu ni mtazamo wa kitapeli, wizi na udalali pekee. Ndiyo maana hata hizo biashara mnazozifanya ni za kidalali tu, bila uvumbuzi wowote. Acheni upumbavu na upotoshaji.Nchi hii wanapenda unyonge. Ni ajabu sana kwa kweli.
Kilicho baki ni tupambana na tudai mazingira rafiki ya biashara basi. Kuwachukia matajiri hakutufanyi sisi kupata hela bali tunazidi kuwa masikini.
Hahaaha kwahiyo chukulia leo hii Rostam amefilisika, hayo uliyo sema ndio yatabadilika?Mnadhani katika nchi hii kila mtu lazima afanye biashara, awe kama Rostam Aziz, Bakhresa au awe mwizi kama Kizigha? Taifa hili lina wingi wa wataalamu, wakulima, wafugaji na aina mbalimbali za wafanyakazi. Ikiwa hamtaweka mazingira yatakayowawezesha kunufaika kupitia kazi zao, mnataka watembee kwa matumaini gani? Shida yenu ni mtazamo wa kitapeli, wizi na udalali pekee. Ndiyo maana hata hizo biashara mnazozifanya ni za kidalali tu, bila uvumbuzi wowote. Acheni upumbavu na upotoshaji.
Eti tuchangamkie fursa!? Fursa zipo na watu wanazichangamkia, lakini katika nchi yenye urasimu, rushwa, wizi, na utitiri wa kodi zisizo na kichwa wala miguu, changamoto ni kubwa. Watu wanapigania kuwepo na jukwaa bora na imara la kujenga uchumi endelevu, lakini ninyi mnaendelea kushikilia mentality za udalali na fikra finyu za hovyo kama hizi.Moja kwa moja naenda kwenye Hoja,
Watanzania tuchangamkie Fulsa Tele ambao zimejaa nchini ili Sisi wenyewe Tumiliki Uchumi
Tuache kulalamika au kubagaza wenzetu kama kina Rostam ambao wanachangamkia Fulsa na kuwekeza, Zaidi Watanzania wenzetu wanapata Ajira za kutosha na Serikali kupata Mapato
Tunaitaji kuona wageni na kumiliki Uchumi na kuhamisha pesa zote?
Watanzania tunampenda kuona mgeni akilimiki au kupewa kipaumbele na tupo kimya lakini kipambule hicho akipewa Manzanita kama Rostam,Rugemalira,Mengi,Mufuruki na wengine tunakuwa na wivu na kuzusha maneno ya uongo
Rai yangu kwa Watanzania wote,Sasa hivi Secta Binafsi imefunguka Sana Nchini
Naomba Watanzania hasa wale wajasiriamali tuache kulalamika na hatimaye tuchangamkie Fulsa zilizopo
Heri hawa wazawa ambao Serikali inawawezesha maana pesa zitabaki nchini,Watanzania kupata Ajira na Serikali kupata Mapato
Kuliko hizo Fulsa kupewa wageni na Uchumi wote kwenda kunufaisha Nchi zao
Secta Binafsi ndo Roho ya Nchi maana asilimia 70 au 80 tunategemea hii secta
Furaha yangu kuona Watanzania wengi zaidi wakipewa kipaumbele kwenye hii secta
Shime,Tuache kulalamika
Hakuna mtu anayewachukia matajiri, Mzee. Tatizo ni kwamba unataka kumtumia mtu mmoja, Rostam, ku-generalize mambo. Mbona Rostam mwenyewe alishatajwa na akina Mengi kipindi kile kwa ufisadi wake? Kwa utajiri, umemzidi Mengi!?Hahaaha kwahiyo chukulia leo hii Rostam amefilisika, hayo uliyo sema ndio yatabadilika?
Point hapa ni kuwa chukia matajiri.
Hizo ni mbinu za kibiashara. Hata Rostam anaweza akaibuka leo aka watuhumu wa shindani wake.Hakuna mtu anayewachukia matajiri, Mzee. Tatizo ni kwamba unataka kumtumia mtu mmoja, Rostam, ku-generalize mambo. Mbona Rostam mwenyewe alishatajwa na akina Mengi kipindi kile kwa ufisadi wake? Kwa utajiri, umemzidi Mengi!?
Acha ushamba na usimuhusishe JPM na vitu vya ajabu ajabuKama mnapata Raisi anakuja kupambana na sekita binafsi na anashabikiwa na raia unategemea nini, JPM aliuua private sector alikua mshamba wa uchumi.
Naona we ni shabiki wake, asie taka kutumia akili zako.Acha ushamba na usimuhusishe JPM na vitu vya ajabu ajabu