Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Paskali huwa anaongea kinyume nyume....kama umezoea kusoma kutoka kushoto kwenda kulia utapata naye shida, soma kulia kwenda kushoto kama waarabu...[emoji3]
 
Pascal mchumia tumboo wew labda kam hufanyi biasharaa
 
hakuna wakati Tanzania imekuwa kwenye mpasuko kama wakati huu wa awamu ya tano.
Nchi ina mgawanyiko wa kikanda, kikabila, kiuchumi, kidini, kisiasa, yaani kwa kila kigezo nchi imepasuka simply kwa kuwa yupo mtu anayeamini upande aliopo ndio sahihi na wengine ni maadui.

Kama ingetokea vita nyingine ya Kagera watu wangetumia huo mwanya kuchora mipaka upya.

Yanayotokea sasa siyo ya kupuuza, kashkashi iliyopo kaskazini mwa Msumbiji, kwamba Tundu Lisu ndiye mgombea urais kupitia chama pinzani plus imani ya wananchi kwa kila mgombea urais kunatosha kumwambia mtu ni kitu gani kinafuata.
 
Eti ushindi wa 99.9% wa serikali za mitaa kwenye uchaguzi wa huru na haki😋😋😋

When we die the money we can't keep but we probably spend it all cause the pain ain't cheap

POOR PASCAL
 
Tutatumia dola kubaki Madarakani😜😜😜😜
 
Kwani midege mimi wa huku namanyere ambako maji hakuna,shuleni hakna madawati na walimu.!!midege inanisaidia nini.!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ndo madhara ya kutokumsikiliza mama mzazi alionya
 

Naunga mkono hoja hii
Tanzania is a Sovereign State, kamwe tusikubali kuingiliwa mambo yetu ya ndani.
Uchaguzi ni mambo ya ndani

P
Hata uwe Mwandishi wa Habari nguli namna gani au una PhD ya jalalani au msomi wa Chuo mashuhuri duniani, tatizo la Usukuma hata bila njaa linabaki palepale. Pascal Mayalla (Njaa) ni homeboy anasaka uteuzi akipata tumekwisha, wachaguliwa na wateuliwa tele na PhD zao wanaunga tu mkono juhudi, wasomi wa Vyuo mashuhuri wanatumia elimu yao nzuri kusaini mikataba mibovu kwa manufaa yao. Tanzania ina wanajeshi wa kulinda amani katika nchi Huru (sovereign) kadhaa ambazo hazikuvamiwa na majeshi ya nchi nyingine bali ni wananchi wao kwa wao, kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na uongozi mbaya, wanapigana. Uongozi mbaya mara nyingi hutokana na Uchaguzi mbaya ambao hufanyika bila kufuata Sheria, taratibu na Kanuni walizojiwekea wenyewe ambazo zinapindishwa kunufaisha wachache kama Wasukuma au WanaCCM au Waumini wa dini fulani. Wahanga wa Uongozi mbaya huwa ni wananchi walio wengi ambao kwa kutojua au kwa kushawishiwa na vishawishi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na teuzi na rushwa, ndo waliowaweka hao viongozi wabaya madarakani. Katika hali hiyo nchi jirani au za dunia haziwezi kukaa kimya kabila moja, kwa mfano, la Wasukuma linanyanyasa makabila 120 eti sababu hii nchi ni Huru lakini wananchi wasio na kosa wanatekwa, wanateswa, wanauawa na wananyimwa haki zao za msingi. Wanajeshi wetu wanaolinda amani nchi za nje hawana manufaa makubwa kwa nchi yao kuliko kama wangekuwa nyumbani na nchi zinazochangia kuwepo wanajeshi wetu huko hawatapenda siku moja wachangie majeshi ya kulinda amani Tanzania.
 

Naunga mkono hoja hii
Tanzania is a Sovereign State, kamwe tusikubali kuingiliwa mambo yetu ya ndani.
Uchaguzi ni mambo ya ndani

P
ETI TUSIKUBALI MAREKANI ISITUINGILIE??? PASKALI UPO SAWA KWELI...WATU WAENDELEE KUUAWA TU, MAGUFULI AENDELEE KUNYANYASA WATU WANAOENDA KINYUME CHAKE? HIVI WASUKUMA MNA SHIDA GANI?
 
Paskali ameacha akili nyumbani. Toka awe kada wa CCM amekuwa wa ajabu. Ile impartiality aliyokuwanayo toka atoke kwenye njaa imeshatoweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…