Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Kwa nini mnazusha!!! Ilisemwa kila mwanasiasa afanye siasa kwenye eneo lake la uwakilishi!!! Hapo uzuiaji unatoka wapi!?
Mwanasiasa ni nani?
Mwenyekiti wa CCM wa Taifa eneo lake la uwakilishi ni lipi?
Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo eneo lake la uwakilishi ni lipi?
 
Mayala maana yake ni njaa. Subiri CCM iki shinda wakufikirie u Dc.
 
The evil are always afraid. They cover their actions by crying foul repercussions against themselves. They create ghost enemies.
 
Siku zote, na daima yote, masikini mjinga HAJUI KAMA AMECHELEWA.
 
Matendo ya watawala ndiyo yanasababisha hali kuwa hivi. Tusisingizie mabeberu kwa kukosekana kwa uhuru na haki.
 
Kweli kabisa. Tunavuruga sisi halafu tunalalamikia mabeberu. Watawala watende haki na ndipo amani itatamalaki. Hakuna haki , hakuna amani.
 
Namba 3 ni pumba kabisa! Kishindo gani? Kwanini unajitoa ufahamu kuficha ukweli ya yaliyokuwepo nyuma ya pazia kusababisha ushindi huo wa mezani wa 99%?
 
Kama unavyosema tuwe makini na marekani. Hata sisi inapaswa tuwe makini na wewe, ulishawachonganisha watu kwa maandiko yako ukasababisha wakafungwa..
 
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani? Uzalendo ni kuwaonea wafanyabiashara kuwabambikia kodi kubwa TRA kuwapa kesi za uhujumu uchumi, Uzalendo ni BOT kuwapora wafanyabiashara wakubwa na wa kawaida pesa zao zinazotimwa tokea nje kwa kuwatishia kuwabambikia kesi za utakatishaji fedha? Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Uzalendo ni kupiga trilion.1.5 kisha kumtoa CAG kafara? CCM wakienda kuomba omba misaada marekani huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao America wakikataa upumbavu unyanyasaji uonevu udikiteta wa CCM hukimbilia na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike, hakuna cha ubaya wowote tokea marekani wala popote Duniani ni mda wa CCM kwenda kuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya umewadia, usitengeneze tetesi kujifanya wewe CIA FBI una taarifa za kintelinjesia wakati umebuni na kutengeneza propaganda za kishamba ukizani watanzania wamelala hawatakushitukia, mwaka 2020 watanzania wameamka wote hakuna propaganda ya kishetani itapenya kwao, endelea kupambania uteuzi tokea kwa mtukufu kaburu Mkoloni mweusi kwa njia zingine lakini kwa hii tumekushitukia umenoa.
 
Kila Mtanzania mwenye Akili timamu hataki kuiona CCM ikiendelea kuwa ikulu
 
Kama unavyosema tuwe makini na marekani. Hata sisi inapaswa tuwe makini na wewe, ulishawachonganisha watu kwa maandiko yako ukasababisha wakafungwa..
Paskal Mayala katengeneza propaganda kusaka uteuzi kishamba kwa njia haramu za kishetani
 
CIA watamsaka popote alipo akawaeleze alipookota huko uzushi wake inaelekea Paskal mayala hawajui vizuri wamarekani
 
Matendo ya watawala ndiyo yanasababisha hali kuwa hivi. Tusisingizie mabeberu kwa kukosekana kwa uhuru na haki.
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu unyanyasaji uonevu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
 
Mfumo kristo upo hilo halina ubishi.
CCM ni magaidi namba 1.
Kingine acha kujifanya mzalendo sana kuliko watanzania wote.
Tunacho taka ni Haki sawa kwa wote.
Kiukweli extremists wakija nitajiunga kwa moyo mmoja.
Nchi imekua ya kifala sana hii.
CCM wanajiona wao ndio wenye haki kuliko watu wote Tanzania.
Kiukweli hao mboga mboga wasipokua makini watalaumu hao mnaowaita mabeberu bure tu.
 
Huyo nii sehemu ya waimba pambio
 
P,unajulikana kama kada mtiigu wa ccm,na mgombea uliyetia nia na kutupiliwa mbali kwa tabia zako za kujipendekeza,Nijibu swali hili ili baadae nichangie hoja yako?1.HIVI MABEBERU YALIYOMTUMA LISU KUJA KUGOMBEA URAIS NI YAPI?
2.HIVI LISU KULE UBELGIJI ALIENDA KUFANYA NINI?
3.HIVI NI KWELI TUKO HURU?
Narud badae
Jtatu njema,nitarudi
 
P,unajulikana kama kada mtiigu wa ccm,na mgombea uliyetia nia na kutupiliwa mbali kwa tabia zako za kujipendekeza,Nijibu swali hili ili baadae nichangie hoja yako?1.HIVI MABEBERU YALIYOMTUMA LISU KUJA KUGOMBEA URAIS NI YAPI?
Mkuu Daudjuma , kuna popote humu nimemtaja Tundu Lissu?,
Kuna popote nimesema Lissu ametumwa na mabeberu kugombea urais?.
Jee unajua ni nani mtu wa kwanza kumshawishi Lissu publically agombee urais na ni lini?
Kaangalie tarehe ya hili bandiko uone lililetwa na nani!.

P
 
P,unajulikana kama kada mtiigu wa ccm,na mgombea uliyetia nia na kutupiliwa mbali kwa tabia zako za kujipendekeza,Nijibu swali hili ili baadae nichangie hoja yako?1.
2.HIVI LISU KULE UBELGIJI ALIENDA KUFANYA NINI?
Narud badae
Jtatu njema,nitarudi
Mkuu Daudjuma , swali hili linauhusuano gani na bandiko hili?.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…