Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

P,unajulikana kama kada mtiigu wa ccm,na mgombea uliyetia nia na kutupiliwa mbali kwa tabia zako za kujipendekeza,Nijibu swali hili ili baadae nichangie hoja yako?
3.HIVI NI KWELI TUKO HURU?
Narud badae
Jtatu njema,nitarudi
Mkuu Daudjuma , yes tuko huru, Tanzania tulipata uhuru wetu tarehe 9 Dec, 1961, mpaka leo tuko huru

Kama ni mambo ya uhuru wa mambo mengine yote pia tuko huru na mifano ni hii


P
 
Jambo la msingi ni kwa serikali yetu kuwa macho wasilale ktk kipindi hiki cha uchaguzi na baada
wahakikishe wanaulinda uchaguzi ili ufanyike kwa amani na bila kuuingiliwa na mataifa mengine.
wewe macho ktk idara zote
 


Well said
 
Nimecheka sana, alivyosema Magufuli ilikuwa sahihi jina lako ni njaa, kwa hiyo demokrasia ni kushinda 99.9% baada ya kuengua wengine?na hata mtoto wangu wiaka 5 ukimuuliza kuhusu uchaguzi atakuambia ni mgumu sasa 90%+inatoka wapi? Nilikuwa nadhani na kuamini wewe ni mwanataaluma wa maana,lakini unaegemea upande mmoja hadi unataka kuanguka,hebu nyooka,ungeweza kuandika ishu ya usalama bila kuhusisha ushindi na asilimia za uongo ndani,umeharibu kuchanganya na ushabiki ndani,usalama wa nchi ni muhimu sana nakubaliana na wewe vilevile haki ni muhimu sana,amani ni matunda ya haki,mimi mwenyewe sipendi kuona nchi inaingiliwa ila saa nyingine tunaonyesha watu wa nje tunahitaji kuingiliwa,sasa nakuuliza kunahaja gani ya kutembeza jwtz mitaa ya zanzibar? Ili dunia ione siyo?kwani tungewapeleka baada ya uchaguzi ningeelewa tunalinda usalama lakini kabla ya kura?tumeanza na kuengua wabunge na madiwani baada ya kelele na kujiabisha tunawarudi baadhi,kama ni kuiba kura siuibe kimya dakika ya mwisho,lakini unaanza kudhihirisha mapema halafu dunia yote ikitoa macho unalalamika,ni kama unaenda kuiba kwa jirani halafu unapita asubuhi unatizama kufuli yake na kuitingisha ikitoka unamwambia naangalia tu,mchana unaangalia dirisha tena anakuona,jiioni unapanda ukutani tena,halafu akilalamika unataka kumwibia unasema anazusha,sasa analeta mjirani kutizama kama utaiba kweli halafu mnapiga kelele.
 
@Pascali Mayalla sasa vipi kuusu majibu ya hizi hoja??
Hizi hoja ni noma its suicide mission kama kweli kuna hoja za ukweli hapo&
Rais anamalizia wapi kampeni?
 
Kazi imeanza Msumbiji
HIGHLIGHTS

  • At least 7,402 newly displaced people have arrived in Pemba, Cabo Delgado, since 16 October, fleeing violence in Ibo, Quissanga and Macomia districts.
  • Local and provincial authorities are leading response efforts, in close coordination with humanitarian partners, who are providing assistance and protection to new arrivals.
  • The Government has provided food, hygiene kits and masks, while humanitarian partners have provided multi-sectoral support, including ready-to-eat meals, a medical clinic, WASH facilities and protection assistance.
SITUATION OVERVIEW

At least 7,402 newly internally displaced people (IDPs) have arrived with 127 boats in Pemba, Cabo Delgado’s provincial capital, in Mozambique, from 16 to 23 October, according to IOM/DTM. On 22 October alone, 24 boats carrying 2,700 people arrived in the disembarkation areas in Paquitequete neighbourhood of Pemba. The displaced people, who are mostly women and children, are coming from Quissanga, Macomia and Ibo districts, fleeing conflict, violence and insecurity, including following armed attacks on Matemo island in Ibo district this week. Many of the displaced people arriving in Pemba are reportedly fatigued, dehydrated, hungry and suffering from various diseases. Many displaced people who have arrived have indicated that they are planning to move to resettlement areas in other districts of the province (Montepuez, Chiure, Ancuabe or Metuge) that are hosting people displaced by violence in the province, or to stay with host communities in Pemba city. The main needs of the people arriving are clean water, sanitation and hygiene (WASH), food security, health, and protection, especially related to child protection and gender-based violence.
P
 

Soma tu kaka andiko la Mayalla ni level y phd y ukweli sio phd fake fake. Kila mtu kapewa vidonge vyake
 
Chokochoko toka US of A utazipata tu endapo utawa ignore, hasa kama ukifanya biashara sana na China, ukiwabana kwenye uporaji wa maliasili na rasilimali za za nchi yenu, usipowa support kwenye mambo yao, ukiwakatalia kuweka base kwako..
All and all sidhani kwa sasa kama wanashida sana na sisi, kuna vi-nchi vinawapagaisha kuliko sisi, kama Venezuela kwanza, kwa dogo mwenye kiduku, Iran and so on..
Sisi tuendelee na yetu huku tukiwaangalia kwa makini tu...
 
Uchaguzi umepita mshindi kapatikana,kazi sasa ni kulinda usalama wa nchi yetu,chokochoko zozote zitashughulikiwa
 
Paskali,
Nimekuvulia kofia. Umeandika mapema mwaka huu, hao magaidi radical Islamist toka Mozambique wameanza kufanya uhalufu muda mfupi tu kabla ya uchaguzi kupitia kusini mwa Tanzania.

On serious notice, mabeberu sio watu wa kucheka nao; furaha yao ni kuona nchi zetu hasa well resourced countries; zinakuwa unstable ili wao wapate pa kujipenyezea.

Historia inaonesha waki-fund magaidi Lybia dhidi ya Col. Ghadafi; hawa they can use any one at whatever the cost kufikia malengo yao.

Bahati mbaya; njaa kama za Esau wa kwenye biblia zinawafanya watu wengi "kuuza uhuru wao" kwa vipande vya fedha.

Nadhani walio kwenye vyombo wanajua what to be done ili stability ya nchi iwepo.

Either, watawala wajitahidi sana kuwa sehemu ya kuzalisha kazi kwa sekta rasmi na isiyo rasmi ili vijana wawe busy kuzalisha.
Vinginevyo, yaweza kuwa rahisi kutumiwa kwa vipande vya fedha kukidhi njaa ya siku moja.

Shalom
 
Huu upumbavu wote huwa mnaaminushwa na watawala kuhusu watu wanaosimama na ninyi. Hata siku akianza kusimama na wananchi huu uzwazwa utaanza kuenezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…