Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Mi ntazimiss zile quotes zako ukimnukuu kutufanyizia kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye Utawala Wangu Maneno Matamumatamu Sitayasema
Mimi Ni Makavumakavu.
....................................
Akiwa Mlandizi Akaletewa Kesi Ya Ndoa
Akamuuliza Dada Ni Wa Mkoa Gani
Akajibiwa Manyara!! Haa 😂😁Nakuona Mweupe

Wewe Mama Mmezaa Watoto Wangapi?
Akajibiwa Wawili, Haa 😅😄😃😁😀
JPM Akasema Umezaa Mmoja Ukampa Tena Mkazaa Wa Pili




Amelala Mauti
Apumzike Kwa Amani
Tutamkumbuka
 

Nasema uwongo ndugu zanguuu
 
JPM
Nikiondoka Leo Stiglers Godge Itajengwa
Ndege Zitanunuliwa, Mbona Hazikununuliwa Zamani
SGR Itakwisha


Lazima Nifanye Kazi Sana


Apumzike Kwa Amani
Amelala Mauti
Tutamkumbuka Sana JPM
 
Acheni propaganda za kijinga bhana, Magufuli alikuwa anaumwa moyo, Magu alikuwa hataki stress au kuwa na mawazo, kifo cha Mkapa kilimuumiza sana, na kifo cha Kijazi ambae alikuwa rafiki yake kilimuumiza kupitiliza, kiufupi stress ndiyo zilizo muua..

-Aliondoa upinzani Bungeni ili apunguze stress na makelele ya upinzani alidhibiti vyombo vya Habari na upinzani ili kuondoa stress, kile ki piece maker usiombe uwekewe hicho kidude kilimuondoa mjomba wangu..

Magu alikuwa anahitaji sana support ya watanzania na alikuwa hataki mtu wa kumkosoa sababu ya maradhi yake ya moyo
 

Marehemu hasemwi kwa mabaya
 
Ulipoanza kuimba mapambio na mahaba nkajua hakuna kitu ila ni takataka kama takataka zingine. Jiwe is gone and that's it na nchi sasa itatulia.
 
Nikikumbuka walivyo kuzungumzia....duuu ahsante kwa aliefufua uzi huu
 
Eti Rais wa milele, Mungu fundi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…