Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Kwani ukisikia misiba 10000 unafikiri ni idadi ya watu waliokufa kijijini kwenu?

Tanzania ni kubwa sana , pia kila siku wanakufa watu zaidi ya 10000 kwa sababu zingine kama ajali, magonjwa , majanga tofauti na kadhalika hiyo misiba yote huwa unaiona?

Hapa tunazunzungia watu 10000 waliokatishwa uhai kwa risasi ambazo Chande na Machande wenzie wanaogopa kuzitaja wakisema ni vitu vyenye ncha kali.

Pia sijafiwa na ndugu yoyote , hiyo pia haiondoi utimamu wangu kukemea mauaji kwa watu wasio na hatia hata kama hakuna ndugu yangu alipoteza maisha.

Yaani unaamini katika nchi ya watu 70 milioni misiba 10000 ikitokea yote utaiona kwamba nchi ni kama kijiji.?
Hizo ni ndoto za wendawazimu. Watu walikufa siku ya 29/10 lakini siyo 10,000!! Mnaandika hivyo ili kukuza ukubwa wa janga, lakini siyo kweli kabisa.
 
Majibu mepesi kama haya ndio yanaonyesha how pathetic and how ili suala linachukuliwa kirahis na minions wa mfumo
Mkubanwa kutoa hoja ndiyo mnaanza kujamba. Eti majibu mepesi?? Bring your argument twat
 
Hizo ni ndoto za wendawazimu. Watu walikufa siku ya 29/10 lakini siyo 10,000!! Mnaandika hivyo ili kukuza ukubwa wa janga, lakini siyo kweli kabisa.
Tueleze walikufa wangapi na walikufaje?
 
Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033

Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Nimeiona hiyo screenshot, ila mimi ni Tomaso, siamini hii screenshot kuwa ni bonafide genuine, hadi niuonee kwenye link, ya X page ya hiyo tarehe, ndipo nitaamini,
Mkuu Burita, britanicca , naomba the original link tukupe maua yako.
Kulalamika kuwa magufuli kauliwa sio sahihi.
Naunga mkono kwa asilimia 100% chini ya 100%
Maana kama familia yake imekaa kimya ni wazi imeridhika na kile KIFO.
Hakuna familia inaridhika na kifo cha ghafla cha mpendwa wake, bali jambo likiishatokea, ni familia kukubali matokeo, na kukubali ni kazi ya Mungu.
Kama kauliwa toeni ushahidi sio dhana
Naunga mkono hoja, ila mazingira ya kifo chake, yamezingirwa na abrakadbra nyingi sana, you can't rule out speculations, bado maswali ni mengi kuliko majibu, na kama ni kweli chanzo sio kile tulichotangaziwa, siku ya kifo sio ile tuliotangaziwa, taarifa ya kupelekwa Nairobi hospital haikuwahi kukanushwa, taarifa ya kupelekwa India na kukataliwa haikuwahi kutolewa, mimi mwenyewe pia niliuliza Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5? sikuwahi kujibiwa na yeyote!.

Pia niliwahi kutoa maangalizo matatu haya
Maadam mimi nilielezwa JPM alipo, Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani, naomba tumwacheni huyu Baba wa watu, apumzike kwa amani!.

P
 
Back
Top Bottom