Kwa mambo yanavyoendelea, napata mashaka na kifo cha Hayati Magufuli

Kasinja jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Posts
1,069
Reaction score
1,958
Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeee
81ecadae-3ed9-4d66-95bf-d551d77e5260.jpeg

Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
 
So, tuseme Magufuli aliuwawa?

Mimi nimekuwa nikipinga hiyo hoja kwa kuzingatia hali ilivyokuwa wakati ule, watu walivyokuwa wakifa kwa Corona na hasa wasaidizi wake.

Nikawa najiuliza, iweje wasaidizi wake wafe, halafu yeye aliyekuwa hataki kujikinga apone? nikaona hii hoja ya kusema Magufuli aliuwawa sio ya kweli.

Lakini nazidi kuona kila siku zinavyozidi kusogea ndio haya maneno ya Magufuli kuuwawa yanazidi kusambaa.

Inawezekana kweli walimuwekea sumu mahali na siku waliyopanga ili kumuua, lakini ushahidi wa hili uko wapi?

Daktari aliyekuwa akihusika kumtibu Magufuli angekuwa mtu muhimu kwenye hili. Bahati mbaya naye hawezi kuongea, labda na Mabeyo aliyekuwa mkuu wa majeshi wakati ule.
 
Kama uliwahi kumsikiliza Polepole kabla hajatekwa amewahi kugusia hilo.
 
Back
Top Bottom