M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Na hakosei kitu(hawakosei) mpaka leo hii.Tangu apotee Pole×2 bado BRI anapost? Mara wanasema ni Bash
Na hakosei kitu(hawakosei) mpaka leo hii.Tangu apotee Pole×2 bado BRI anapost? Mara wanasema ni Bash
MAGU alimwamini Bashite.Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Polepole aliweka kila kitu wazi.Mbeba mikoba
Hili ndo tatizo, badala ya kuchukua hatua mnataka kubana watu.Abanwe atuambie Nani alimwambia haya
mambo yalisemwa 2021 alf tunayaishi 2026, kwahiyo mpka hiyo ya kuzurula alijuaje?, watu wanasiri sana aseee
Bahati mbaya kile kifo kilitokea wakati wa Corona, ndio maana kwangu inakuwa ngumu kukitenganisha na Corona.Vipi haiwezi kuwa ni njia iliyotumika kuamisha umma ili ionekane kuwa corona ndiyo inapita nao kumbe ni mkakati
Hata akimsomesha/angemsomesha teyari umeshahabarishwa ya kwamba dishi(la Abdul) limeyumba.Anakwambia kuna mmoja Dish limeyumba, hawezi kupewa uwaziri 😂.
Tusomeshe watoto jamani, Sasa ndo nn hata uwaziri wa kupewa unakukataa
Hata akimsomesha/angemsomesha teyari umeshahabarishwa ya kwamba dishi(la Abdul) limeyumba.
Outbreak of COVID-19 ndiyo ilikuwa kisingizio rahisi kukitumia, coronavirus pandemic was global hivyo hata kimataifa iliaminika kirahisi labda tu kwa wale ambao walishakuwa na fununu ya kinachopangwa na wale 'akili nyingi' ambao huwaza deep sana kwenye jambo lolote lile.Vipi haiwezi kuwa ni njia iliyotumika kuamisha umma ili ionekane kuwa corona ndiyo inapita nao kumbe ni mkakati
Jina halihitaji mpaka uwe na PhD ya NUCLEAR PHYSICS kulibaini, simple common sense, checking the patterns au joining the dots iko wazi kuwa ni Abdul.Naona hayo majina umetaja wewe, ila mtoa post haja taja majina yeyote.
Mtoto dishi🤣Jina halihitaji mpaka uwe na PhD ya NUCLEAR PHYSICS kulibaini, simple common sense, checking the patterns au joining the dots iko wazi kuwa ni Abdul.
View attachment 3607137
Utambana "the ghost"?Abanwe atuambie Nani alimwambia haya
Anasumbuliwa au ni nightmares na sarakasi za uhondo wa madaraka vinatesa nafsi?Ndio hao hao wanaomsumbua Samia kwa sasa
Mnaoipinga ndo mnatupa mashakaSo, tuseme Magufuli aliuwawa?
Mimi nimekuwa nikipinga hiyo hoja kwa kuzingatia hali ilivyokuwa wakati ule, watu walivyokuwa wakifa kwa Corona na hasa wasaidizi wake.
Nikawa najiuliza, iweje wasaidizi wake wafe, halafu yeye aliyekuwa hataki kujikinga apone? nikaona hii hoja ya kusema Magufuli aliuwawa sio ya kweli.
Lakini nazidi kuona kila siku zinavyozidi kusogea ndio haya maneno ya Magufuli kuuwawa yanazidi kusambaa.
Inawezekana kweli walimuwekea sumu mahali na siku waliyopanga ili kumuua, lakini ushahidi wa hili uko wapi?
Daktari aliyekuwa akihusika kumtibu Magufuli angekuwa mtu muhimu kwenye hili. Bahati mbaya naye hawezi kuongea, labda na Mabeyo aliyekuwa mkuu wa majeshi wakati ule.
Watu wanavichwa vizitoNenda kaangalie..
Polepole aliongea mambo mazito mno.
Kuna uzi uliwahi wakasema mimi ndo polepole nikashangaa bado nipoWalikuwa wanasema Polepole Ndo Britanicca
Nimeiona hiyo screenshot, ila mimi ni Tomaso, siamini hii screenshot kuwa ni bonafide genuine, hadi niuonee kwenye link, ya X page ya hiyo tarehe, ndipo nitaamini,Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Naunga mkono kwa asilimia 100% chini ya 100%Kulalamika kuwa magufuli kauliwa sio sahihi.
Hakuna familia inaridhika na kifo cha ghafla cha mpendwa wake, bali jambo likiishatokea, ni familia kukubali matokeo, na kukubali ni kazi ya Mungu.Maana kama familia yake imekaa kimya ni wazi imeridhika na kile KIFO.
Naunga mkono hoja, ila mazingira ya kifo chake, yamezingirwa na abrakadbra nyingi sana, you can't rule out speculations, bado maswali ni mengi kuliko majibu, na kama ni kweli chanzo sio kile tulichotangaziwa, siku ya kifo sio ile tuliotangaziwa, taarifa ya kupelekwa Nairobi hospital haikuwahi kukanushwa, taarifa ya kupelekwa India na kukataliwa haikuwahi kutolewa, mimi mwenyewe pia niliuliza Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5? sikuwahi kujibiwa na yeyote!.Kama kauliwa toeni ushahidi sio dhana