Huu ni unabii mkubwa sana na imekuwa hivyo exactly!Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Huu ni unabii mkubwa sana na imekuwa hivyo exactly!Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Wewe ni nabii mkubwa!Hii tweet Nimeikumbuka kabla sijabadili handle ila bado sitaandika mengi
Niliandika nyingi hata ya Ndugai pia ya Lugumi
Ila nilitisshwa na Bashite na mzee mwanga kuwa twitter haiko secure kama JF wanaona IP address Zangu baada ya miezi miwili nikaifuta nashangaa wameitoa wapi
Naelewa unaelewa code 77 sema hapa utairuka ni kweli ili najua sababu ila …..
Britanicca
Ndo mlichobaki nacho, haters; UZUSHI BAADA YA UZUSHI.... nyambafuNa ilitimia wakatuondolea Magu
Basi acha ujinga wa kutangaza vitu ambayo hauna uhakika navyo Wala ushahidiNiende nikahukumiwe kwa katiba ya mkoloni.!
Nyie mna katiba.!
Lazima nitafeli tu
Ndo nishamwambia .kashindwaAkiambiwa na nani
Mimi natangaza.!Basi acha ujinga wa kutangaza vitu ambayo hauna uhakika navyo Wala ushahidi
Haya.kama kuuliwa atakuja kufufuka asemeMimi natangaza.!
Kama ulikuwa unadhani TZ ni ile ya mwaka 64 pole
Kama si 60% kwa 70 ya mbugila wa kitaa wanamtazamo huu na hawajakosea
Yupo level ya u waziri alikiri mwenyewe aliwahi kunyweshwa sumu
Yupo raisi anasema anajitoa muhanga kupambana raia masikini.!
Na akafa kweli.! Unataka wa TZ tuone nini.!?
Sawa hatujui kusoma hata picha tusione unataka tuamuliwe namna ya kuona na wengine
Hivi we unadhani ni mara ngapi chaguzi zimepigwa tatu chafu na watu wakaridhika
Iweje ghafla from no where watu wanaandamana na wanapata nguvu tena kwa kichaa kabisa na wanakufa
Eti Sijui mitandao inashawishi watu.! Ujinga
Kuna fukuto kwenye mioyo ya watu na kunataka wenye hekima kushughulika nayo vile hawapo basi
Sawa mwili umekufaHaya.kama kuuliwa atakuja kufufuka aseme
Amin/aSawa mwili umekufa
Lakini nafsi yake ipo kwa wa TZ zaidi ya milioni 40 wenye akili timamu ni suala la muda mtaona anafufuka na kupaa mawinguni
Na atawekwa kwenye noti ya Elfu kumi nyambaf
Wewe utashindwa kumpa mimba mke wako utasingizia Magufuli alishakufa vipi mauaji yameisha ulikua mdogo kipindi mwangosi anakufa?Magufuli alipanda Mbegu ya mauaji bila kuulizwa, hatimaye kama ni kweli aliuwawa Mbegu aliyootesha ikamea hadi kumla na yeye. Kama ni kweli aliuwawa basi karma ilafanya kazi yake.
baz kaiza
Na alipokuwa anazunguka na mimba yake mulimuona?..Watajuana wenyeweNAONA SASA HUYU MAMA ANAZUNGUKA NA MWANAYE DUNIANI
Zingatia neno kufanya mauaji bila kuulizwa.Wewe utashindwa kumpa mimba mke wako utasingizia Magufuli alishakufa vipi mauaji yameisha ulikua mdogo kipindi mwangosi anakufa?
Katiba hii tunayoilalamikia ndiyo imempa Samia nchi, na hiki kipindi chake cha pili wa kulaumiwa ni wanaccm kwa kukubali kuburuzwa na Jakaya Mrisho Kikwete na kumpitisha Samia kihuni kuwa mgombea na hatimaye INEC ikampa nchi kwa gharama ya Watanganyika zaidi ya 10,000 kuuwawa.Waliompa nchi Samia mungu anawaona hakuna hata mmoja ataiona pepo kati yao; ni watu wa hovyo mno.
Na Ulisema target ni NCHIMBI ***** we jamaaHii tweet mmeitoa wapi na niliifuta Mwaka 2021 April ???
Okay anyway organizer wa movement zote anajua na kwa sasa target ni namba 2
Britanicca
Mambo mengi yako wazi wala si utabiriNa Ulisema target ni NCHIMBI ***** we jamaa
Na unakumbuka jamaa mpishi wake alidedishwa siku chache kabla hajajiuzuluNa Ulisema target ni NCHIMBI ***** we jamaa
Target inayofuata ni nani?Mambo mengi yako wazi wala si utabiri