rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
Deep state
Kuna haja ya haya mambo kufanyiwa uchunguzi lakini sasa ni nani wa kufanya au kuamuru ufanyike uchunguzi??Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
hao wasaidizi wake nao waliondolewa kwa njia hiyo hyo ya boss wao ili wasi retaliate kipindi boss wao akiondolewaSo, tuseme Magufuli aliuwawa?
Mimi nimekuwa nikipinga hiyo hoja kwa kuzingatia hali ilivyokuwa wakati ule, watu walivyokuwa wakifa kwa Corona na hasa wasaidizi wake.
Nikawa najiuliza, iweje wasaidizi wake wafe, halafu yeye aliyekuwa hataki kujikinga apone? nikaona hii hoja ya kusema Magufuli aliuwawa sio ya kweli.
Lakini nazidi kuona kila siku zinavyozidi kusogea ndio haya maneno ya Magufuli kuuwawa yanazidi kusambaa.
Inawezekana kweli walimuwekea sumu mahali na siku waliyopanga ili kumuua, lakini ushahidi wa hili uko wapi?
Daktari aliyekuwa akihusika kumtibu Magufuli angekuwa mtu muhimu kwenye hili. Bahati mbaya naye hawezi kuongea, labda na Mabeyo aliyekuwa mkuu wa majeshi wakati ule.
Ndiyo huyohuyo, mwamba hajawahi kukosea.Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeeeView attachment 3607033
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Utambania wapi, mwamba huyu ni zaidi ya AI.Abanwe atuambie Nani alimwambia haya
Vipi haiwezi kuwa ni njia iliyotumika kuamisha umma ili ionekane kuwa corona ndiyo inapita nao kumbe ni mkakatiSo, tuseme Magufuli aliuwawa?
Mimi nimekuwa nikipinga hiyo hoja kwa kuzingatia hali ilivyokuwa wakati ule, watu walivyokuwa wakifa kwa Corona na hasa wasaidizi wake.
Nikawa najiuliza, iweje wasaidizi wake wafe, halafu yeye aliyekuwa hataki kujikinga apone? nikaona hii hoja ya kusema Magufuli aliuwawa sio ya kweli.
Lakini nazidi kuona kila siku zinavyozidi kusogea ndio haya maneno ya Magufuli kuuwawa yanazidi kusambaa.
Inawezekana kweli walimuwekea sumu mahali na siku waliyopanga ili kumuua, lakini ushahidi wa hili uko wapi?
Daktari aliyekuwa akihusika kumtibu Magufuli angekuwa mtu muhimu kwenye hili. Bahati mbaya naye hawezi kuongea, labda na Mabeyo aliyekuwa mkuu wa majeshi wakati ule.
Na wengine wamelamba teuzi.NAONA SASA HUYU MAMA ANAZUNGUKA NA MWANAYE DUNIANI
Kwa gharama za walipa kodi.NAONA SASA HUYU MAMA ANAZUNGUKA NA MWANAYE DUNIANI
MhhKwa gharama za walipa kodi.
Wote waliokuwa karibu naye ni kama walikuwa corrupted na wale wabishi ndiyo walianza kupewa sumu na mkadanganywa kuwa wamekufa kwa coronavirus, ilikuwa ni kisingizio rahisi sana na watu hawakuwa wakijiuliza maswali wanapoambiwa kuwa mtu amekufa kwa coronavirus.So, tuseme Magufuli aliuwawa?
Mimi nimekuwa nikipinga hiyo hoja kwa kuzingatia hali ilivyokuwa wakati ule, watu walivyokuwa wakifa kwa Corona na hasa wasaidizi wake.
Nikawa najiuliza, iweje wasaidizi wake wafe, halafu yeye aliyekuwa hataki kujikinga apone? nikaona hii hoja ya kusema Magufuli aliuwawa sio ya kweli.
Lakini nazidi kuona kila siku zinavyozidi kusogea ndio haya maneno ya Magufuli kuuwawa yanazidi kusambaa.
Inawezekana kweli walimuwekea sumu mahali na siku waliyopanga ili kumuua, lakini ushahidi wa hili uko wapi?
Daktari aliyekuwa akihusika kumtibu Magufuli angekuwa mtu muhimu kwenye hili. Bahati mbaya naye hawezi kuongea, labda na Mabeyo aliyekuwa mkuu wa majeshi wakati ule.
Malizia Mkuu,NAONA SASA HUYU MAMA ANAZUNGUKA NA MWANAYE DUNIANI
Tangu apotee Pole×2 bado BRI anapost? Mara wanasema ni BashWalikuwa wanasema Polepole Ndo Britanicca