Mbona unashabikia ujinga mkuu.Yaani matakwa yako binafsi yanaacha wuitakie nchi yako mabaya kiasi hicho!Unprecedented.
Ikitokea Wamarekani wakafanyia nchi yetu ubaya wowote,wewe utapata faida gani.Don't be a sadist.Kama itakuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe au kikundi cha kigaidi kupandikizwa nchini mwetu,wewe utakuwa wapi,ndugu zako watakuwa wapi.Ona yanayotokea Libya,Syria,Nigeria,
Somalia,Mali,Niger,Cameroon na sehemu zingine za Sahel,Iraq,Syria,Yemeni,DRC-Congo,kote ni mkono wa Wamarekani.Kweli ungependa yanayotokea katika nchi hizo yatokee Tanzania?Tafakari tena.Nadhani hujui vita mkuu,ungeijua usingeishabikia.
Naomba ujue kwamba chuki waliyonayo Wamarekani dhidi ya Tanzania,si kwa sababu yeyote nyingine ile,ila kwa sababu Rais Magufuli anataka rasilimali za nchi yetu ziwasaidie Watanzania,si vinginevyo.This to them is going against American interests.Ajabu sana.