Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Acha uoga. Nikutishe mm nakujua wewe? Nimekupa fact ya unayoandika uwe na ushahidi wake ndio kanuni ya jinai ilivyo.

Kama unaandika kwa kufuata mkumbo tu. Jihadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi nikupe wewe? Wewe nani? Kama wewe ni mnufaika wa mfumo kandamizi basi wewe na hao mabwana zako subirini tu wakati ukifika ndiyo najua kuwa mlipokuwa mnateka na mnaua watu ilikuwa mnaacha ushahidi ambao uko intact.
 
Mbona unashabikia ujinga mkuu.Yaani matakwa yako binafsi yanaacha wuitakie nchi yako mabaya kiasi hicho!Unprecedented.
Ikitokea Wamarekani wakafanyia nchi yetu ubaya wowote,wewe utapata faida gani.Don't be a sadist.Kama itakuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe au kikundi cha kigaidi kupandikizwa nchini mwetu,wewe utakuwa wapi,ndugu zako watakuwa wapi.Ona yanayotokea Libya,Syria,Nigeria,
Somalia,Mali,Niger,Cameroon na sehemu zingine za Sahel,Iraq,Syria,Yemeni,DRC-Congo,kote ni mkono wa Wamarekani.Kweli ungependa yanayotokea katika nchi hizo yatokee Tanzania?Tafakari tena.Nadhani hujui vita mkuu,ungeijua usingeishabikia.

Naomba ujue kwamba chuki waliyonayo Wamarekani dhidi ya Tanzania,si kwa sababu yeyote nyingine ile,ila kwa sababu Rais Magufuli anataka rasilimali za nchi yetu ziwasaidie Watanzania,si vinginevyo.This to them is going against American interests.Ajabu sana.
 
Hizo mifano zenu za kusema eti kuna amani kwa hiyo Mmarekani akiingilia nchi yetu itakuwa kama Libya au DRC ni kutetea ujinga. Hii ilikuwa nchi ya maana hadi November 2015, baada ya hapo tayari haina tofauti na hiyo DRC na Libya.

Uchumi umeporomoka, wizi kwa kikundi cha watu wachache umeshamiri, utekaji na mauaji ya wakosoaji ni kitu cha kawaida. Maamuzi ya kidikteta ya mtu mmoja ndiyo yanaendesha nchi. Uhuru wa mawazo na kujieleza uko mashakani. Vyama vya upinzani vinazuiwa kufanya kazi zao na vyombo vya habari vinadhibitiwa.

Kimsingi Uhuru aliopigania Nyerere toka kwa Wakoloni haupo umechukuliwa na mtu mmoja Mrundi/ Mnyarwanda wa Chato.
 
Kwani hiyo mifano niliyotoa si ya kweli,nchi hizo ziko salama na Wamarekani si ndio wamesababisha kusambaratika kwa nchi hizo?Unakataa mifano na ukweli ulio wazi.Nasema kwa mara nyingine tena,Wamarekani hawaingii mahali wakapaacha salama,mifano iko mingi.

And let me say this,Wamarekani wakiipenda serikali yeyote,ujue serikali hiyo ni ya hovyo na inakwenda kinyume na matakwa na maslahi ya wananchi wake walio wengi.

Si unaona Saudi Arabia na Bahrain,nchi hizi ni dictatorial regimes 100%.Ungedhani wangekuwa maadui wa nchi hizo,lakini ndio kwanza marafiki wa karibu kabisa.Where is the democracy they are preaching.Hipocrites kabisa.I hate America.
 
Upuuzi mtupu, yeyote anayeona utawala huu unafanya vizuri kwa zaidi ya 75+ ni mnufaika Wa haya yanayofanyika, hivi Paskal unazungumzia CCM kushinda kwa 99.9% seeikali za mitaa kwamba kumewakera nikiweke wazi tu si Wamarekani pekee mpenda amani yeyote na mpenda demokrasia hawezi kufurahia namna mchakato mzima ulivyoendeshwa, kitakachokuja kutokea ni malipo ya upuuzi wenu,bora waje tu sisi tulishajichokeaga zamaaani liwalo na liwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hiyo mifano niliyotoa si ya kweli,nchi hizo ziko salama na Wamarekani si ndio wamesababisha kusambaratika kwa nchi hizo?Unakataa mifano na ukweli ulio wazi.Nasema kwa mara nyingine tena,Wamarekani hawaingii mahali wakapaacha salama,mifano iko mingi.

And let me say this,Wamarekani wakiipenda serikali yeyote,ujue serikali hiyo ni ya hovyo na inakwenda kinyume na matakwa na maslahi ya wananchi wake walio wengi.

Si unaona Saudi Arabia na Bahrain,nchi hizi ni dictatorial regimes 100%.Ungedhani wangekuwa maadui wa nchi hizo,lakini ndio kwanza marafiki wa karibu kabisa.Where is the democracy they are preaching.Hipocrites kabisa.I hate America.
Sijapinga bali nasema hata sisi hatuna cha kujivunia kama nchi ya amani. Kama Tundu Lissu anaweza pigwa risasi 38 akitokea mkutano wa Bunge mchana na Serikali haijachukua hatua je tuna tofauti gani na Syria?
Kama watu wanauliwa na Makonda na kuwekwa kwenye viroba na Serikali iko kimya, tuna tofauti gani na Yemen? Ongelea Tanzania ya 1961-2015 Ila siyo hii ya Dikteta Jiwe
 
Mbona unashabikia ujinga mkuu.Yaani matakwa yako binafsi yanaacha wuitakie nchi yako mabaya kiasi hicho!Unprecedented.
Ikitokea Wamarekani wakafanyia nchi yetu ubaya wowote,wewe utapata faida gani.Don't be a sadist.Kama itakuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe au kikundi cha kigaidi kupandikizwa nchini mwetu,wewe utakuwa wapi,ndugu zako watakuwa wapi.Ona yanayotokea Libya,Syria,Nigeria,
Somalia,Mali,Niger,Cameroon na sehemu zingine za Sahel,Iraq,Syria,Yemeni,DRC-Congo,kote ni mkono wa Wamarekani.Kweli ungependa yanayotokea katika nchi hizo yatokee Tanzania?Tafakari tena.Nadhani hujui vita mkuu,ungeijua usingeishabikia.

Naomba ujue kwamba chuki waliyonayo Wamarekani dhidi ya Tanzania,si kwa sababu yeyote nyingine ile,ila kwa sababu Rais Magufuli anataka rasilimali za nchi yetu ziwasaidie Watanzania,si vinginevyo.This to them is going against American interests.Ajabu sana.
The guy has lost hope of life. So he wants us to feel the same too.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla,

Paskali, nadhani unatakiwa kuwaambia hao watawala ndio wawe makini, unaposema tuwe makini sisi sikuelewi kabisa, sijasoma maelezo yako yote kwani yanakatisha tama hata kuyasoma yote, (kwa kutumia heading yako tu), mimi naona Marekani wanachelewa tu, wangechukua hatua ya wanachotaka kufanya ile tujue kinachofuata.
Kuna watu libya walikua wana mawazo mgando kama ya kwako,leo wana hali mbaya sana kiuchumi kuliko kabla marekani hawajaivuruga nchi yao
Nitakuwa wa mwisho kuwaamini wamarekani,wao wanaweka vibaraka wao tu
 
Sijapinga bali nasema hata sisi hatuna cha kujivunia kama nchi ya amani. Kama Tundu Lissu anaweza pigwa risasi 38 akitokea mkutano wa Bunge mchana na Serikali haijachukua hatua je tuna tofauti gani na Syria?
Kama watu wanauliwa na Makonda na kuwekwa kwenye viroba na Serikali iko kimya, tuna tofauti gani na Yemen? Ongelea Tanzania ya 1961-2015 Ila siyo hii ya Dikteta Jiwe
Usiniambie juu ya Tundu Lissu ni msaliti tu kama Kabendera.Hivi anayeisaliti nchi yake adhabu yake ni nini?
 
Kuna watu libya walikua wana mawazo mgando kama ya kwako,leo wana hali mbaya sana kiuchumi kuliko kabla marekani hawajaivuruga nchi yao
Nitakuwa wa mwisho kuwaamini wamarekani,wao wanaweka vibaraka wao tu
Wewe ni kibaraka wa nani ?, wa jiwe ??.
 
Alianza Albert Msando kuandika barua ubalozi WA Marekani,Leo hii Paskal nae anadododa kuhusu security ya nchi na Marekani,Je kweli ndio tulipofika
 
Usiniambie juu ya Tundu Lissu ni msaliti tu kama Kabendera.Hivi anayeisaliti nchi yake adhabu yake ni nini?
Hivi tafsiri ya usaliti imebadilika kwwnye kamusi kwa sababu Awamu ya 5 ilko madarakani?

Hivi kuna mzalendo aliyepigania kubadilishwa kwa sheria nyonyaji za madini Tanzania kumzidi Tundu Lissu? Are we serious kumuita Tundu Lissu traitor? Mtu aliyeanza kupingana na Serikali juu ya mikataba isiyo na faida kwa Tanzania tangu mwaka 1996/97 akiwa anatoka UDSM!!
Je unajuwa kuwa Tundu Lissu aliwatetea wachimbaji wadogo wadogo wa Tarime dhidi ya Barrick bila malipo?
Je anajua kuwa toka 2005 akiwa Mbunge wa CDM amekuwa mwiba mkali bungeni dhidi ya miswaada ya madini iliyokuwa inaletwa kwa hati ya dharura?
Kosa lake nini lililosababisha JPM akaamuru apigwe risasi mchana kweupe?? Kusema tufuate taratibu katika kujitoa kwenye mikataba ya MIGA?

Je wajua kuwa Tundu Lissu ndiye pekee ameandika publication juu ya sheria za madini Tanzania na amekuwa ananukiliwa na Tume zote kuanzia Tume ya Jaji Bomani, Tume ya Prof Mruma, Tume ya Prof Osoro.
 
Hahahhaahahahaha nimejikuta tu nacheka kwa sauti kubwa....you have made my day...mkuu
Paschal wewe mwanasheria wa aina gani. Umeishutumu Marekani kwa taarifa za hisia. Na hili ni taifa kubwa ambalo uwezo wake wa kiintelijensia sio habari za kijiweni kwako. Umetumia kitu ambacho tunakiita STATEMENT OF FACT kisheria. Bw Mayala unaweza kudhibitisha pasipo shaka madai hayo. Usiingize taifa letu kwenye mgogolo wa kidiplomasia kwa sababu ya MATAMANIO yako ya uteuzi. Umepigania uteuz kwa mda mrefu.

Tulia siku itafika tu utakumbukwa. Yanayofanya na utawala wetu duniani tunaonekana. Acha tunyolewe. Waziri wa mambo ya nje wa Marekali ni wa pili kwa umaarufu na kimamlaka baada ya Raisi wao. In fact anasauti kuliko hata VC wao. POMPEO ni jausi bobezi na amekuwa mkurugenz wa mashirika ya ujasusi wa Marekani kwa mda mrefu. Sio mtu kukurupuka. Yajayo yataneemesha demokrasia ya Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tafsiri ya usaliti imebadilika kwwnye kamusi kwa sababu Awamu ya 5 ilko madarakani?

Hivi kuna mzalendo aliyepigania kubadilishwa kwa sheria nyonyaji za madini Tanzania kumzidi Tundu Lissu? Are we serious kumuita Tundu Lissu traitor? Mtu aliyeanza kupingana na Serikali juu ya mikataba isiyo na faida kwa Tanzania tangu mwaka 1996/97 akiwa anatoka UDSM!!
Je unajuwa kuwa Tundu Lissu aliwatetea wachimbaji wadogo wadogo wa Tarime dhidi ya Barrick bila malipo?
Je anajua kuwa toka 2005 akiwa Mbunge wa CDM amekuwa mwiba mkali bungeni dhidi ya miswaada ya madini iliyokuwa inaletwa kwa hati ya dharura?
Kosa lake nini lililosababisha JPM akaamuru apigwe risasi mchana kweupe?? Kusema tufuate taratibu katika kujitoa kwenye mikataba ya MIGA?

Je wajua kuwa Tundu Lissu ndiye pekee ameandika publication juu ya sheria za madini Tanzania na amekuwa ananukiliwa na Tume zote kuanzia Tume ya Jaji Bomani, Tume ya Prof Mruma, Tume ya Prof Osoro.
Hujui kilichopo nyuma ya pazia,ni bora ungenyamaza.Unatetea kisichoweza kutetewa!Hivi chumvi ikiharibika itiwe nini hadi ikolee,nadhani hakuna.Mkuu Tundu Lissu alianza vizuri akamaliza vibaya.
 
Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usijekuwa sawa na yeye ... (Mithali 26:4). I logg off
 
Back
Top Bottom