INAUZWA Security camera kama bulb, bei 30,000 tu

INAUZWA Security camera kama bulb, bei 30,000 tu

Ukipata yenye mfanano wa balbu ya kawaida ya umeme nicheki tafadhali. nataka kumchunguza wifi yako pale nyumbani
 
Rudisha heshima na adabu nyumbani kwako. Watu waache kukaa kizembezembe
Leo tunakuletea offer kabambe ya mwaka mpya
Camera ni elfu 30 ukichukua anzia pc 3. PC moja ni elfu 30
Ni rahisi kutumia na unaiweka sehemu yoyote kama Ile bulb ya kawaida
Unaweza kuconnect kwenye simu zaidi ya moja
Ina mic na speaker ya kuwasiliana pande zote mbili yaani unaweza kuongea na mtu aliyeko karibu na camera
Full high definition of hd clear video
Unaweza ukaigeuza kwenye angle zote unazoitaji kuona.mzunguko huo utaucontrol kupitia app ya simu yako
Inaonesha clear hata usiku
Unaweza ukaweka memory card na kurecord matukio yote wewe unakuja kuangalia baadae
Inafaa nyumbani ,dukani ,ofsini etc
Mikoani tunatuma kwa uaminifu kabisa
Fanya kuwahi ziko chacheee
Mawasiliano 0764225747
Pia kwa wale wanaotaka inayotumia solar. Pc 160,000 nimeambatanisha picha pia. Wakuu
Zote ni coiled? Hauna zile za Pini?
 
Back
Top Bottom