playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Kwang'waru brass band ya Kenya 2019,
Nimeuona mkono wake bwana 2019
Case closed!Kwang'waru brass band ya Kenya 2019,
Nimeuona mkono wake bwana 2019
Unasema baada ya waandishi wa habari kuondoka akalia weeee kwamba hapendi show off duuu 😂🤣 Nalog offAmewakataza waandishi kuongelea kuhusu hilo kwa sababu yeye hapendi show off ndio maana hata jana aliperform kwenye msiba baada ya waandishi wa habari kuondoka na alilia zaidi ya yule mmakonde wa chitohori
Yote majibu.Huo wimbo ulioutaja si wa harmo au sababu alikua wcb?
Mimi mwenyewe nilishangaa sana ..nilipoona habari hii haijapewa kipaumbele ''
Wabongo tunapenda kuonewa huruma,mpaka pasipo hitaji huruma,watu wakikukaushia lawama zinaanza,wakati kitu ulikuwa na uwezo kukipush ww mwenyewe.Nani anayetakiwa kuipa kipaumbele?
Kama yeye mwenyewe hajitangazi, usitegemee mtu baki atakutangaza.
Huu siyo ulimwengu wa kizuri chajiuza, siku hizi vyote vizuri na vibaya vinajitembeza.
Yote majibu.
Nime mwonyeshea hiyo ilikuwa 2019 lkn habari hazikuvuma vilevile.
Habari zake zipi ? juzi Mondi alipost album ya Konde kama kuipromoti mkaponda humu "mnafiki ,anajipendekeza.." ww ukiwa mmoja wapo,kijana wa watu kakaa kimya mnasema "ana roho mbaya" (sasa sijui afanyeje) ,pili mbona hata airtime anapata Wasafi fm na tv,tena naona kwa Tz ndio msanii anayepewa airtime ya kutosha kwenye radio zote kubwa,kuliko wasanii wote including wasanii wa WCB.Labda sababu ya bifu asilimia kubwa ya team roho kwanini hampendi kurusha nyuzi za harmo