Labda sababu ya bifu asilimia kubwa ya team roho kwanini hampendi kurusha nyuzi za harmo
Habari zake zipi ? juzi Mondi alipost album ya Konde kama kuipromoti mkaponda humu "mnafiki ,anajipendekeza.." ww ukiwa mmoja wapo,kijana wa watu kakaa kimya mnasema "ana roho mbaya" (sasa sijui afanyeje) ,pili mbona hata airtime anapata Wasafi fm na tv,tena naona kwa Tz ndio msanii anayepewa airtime ya kutosha kwenye radio zote kubwa,kuliko wasanii wote including wasanii wa WCB.
Kwanza hiyo show ilikuwa kabla ya Harmo hajatoka WCB ,ila sasa ametoka manake amemalizana na WCB na anajitegemea mwenyewe na ana timu yake,kazi inabaki kwao kumpush mtu wao,kwa hiyo hata akitetereka WCB hawana lawama wao wana deal na projects zao (wasanii wao).
Mbona mondi anajipost sana yy mwenyewe kwenye accounts zake,endapo akisifiwa na ikulu tena mara nyingi na mnaponda "lijamaa linapenda sifa" ,ila mwenzenu kishaji promote.
Sawa sawa sasa hivi umlaumu Don Jazz kwa nini hapost habari za Tiwa Savage,wakati sasa hivi Tiwa hayupo chini yake huu ulimwengu wa biashara nipe ni kupe,kama huwezi push mwenyewe kazi zako na watu wako platforms zipo kibao.