" Seduce me" ukijua unachokifanya raha sana.

" Seduce me" ukijua unachokifanya raha sana.

Royal Warrior

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
1,166
Reaction score
2,143
habari zenu wadau..

sijawahi kuanzisha thread yoyote kwenye jukwaa hili ila leo imenibidi nianzishe tu maana uvumilivu umenishinda.

Hili hit song la sedume me aloimba Ali Kiba sio level za nchi hii. Kila nikilisikiliza ndio nazidi kuwa addicted nalo. Pia producer Man Walter kafanya great work kuandaa lile beat.

Ali kiba au sijui nimwite King Kiba, huyu jamaa kwa kweli anajua anachofanya. Talented !

Tangia litoke hili song limekua trending on #1 spot hadi muda huu naandika hii thread with more than 1.2 Million views ndani ya siku moja na masaa kadhaa.

kweli King Kiba is Unstoppable .

 
Nyimbo inaburudisha kuliko nyimbo yoyote iliyowahi kuimbwa tz hii... mimi hii ndio na itakua choice yangu nmb moja milele... kiba n msanii bwana, achana na hawa wa sauti ya kwnz, ya pili, ya tatu na ya nne (kwaya ya kujitonyama)
 
Back
Top Bottom