Sefu Musa adaiwa kuawa na askari baada ya kutuhumiwa kuwa mjangili Ngorongoro

Hakuna jangili anapita getini Tena kwa pikipiki
Kwa ground vitu tofauti,kuna maskari wengi wa wanyapori wanajeruhiwa na wengine kuuwawa, ila hamsikii wala kufikishwa kwenye vyombo vya habari. Sawa kuruhusiwa kupita getini haigurantee kwamba hawawezi kufanya uovu, halafu kwenye ulimwengu wa muhalifu na askari ni mwiko askari kukalili muhalifu kwamba ana mbinu moja.

Najua hapa bado mnamemory ya matukio ya uchaguzi, ila mbugani ni dunia nyingine kabisa mnawahukumu maskari wakati hamjawasikiliza japo najua hata wakijieleza hamto waamini sababu mmekalili, mimi nina ongea hivi nina mwana ni askari kwenye hizo mbuga tena sometimes anatamani kuacha sema tu majukumu.

Tusiwahukumu hao maskari wakati hamjawasikiliza.Kwenye issue hizi za ujangili zipo deep kuliko unavyozani na ndio maana kipindi cha Magu walipelekwa kozi JWTZ ya ulengaji, kama hujui kuna majangili ambao ni Misniper wa Kijeshi kutoka Kongo na Burundi.
 
Unajua kua Hilo eneo walilouwawa sio ndani ya hifadhi, na hakuna kosa lolote waliokua wametenda Wala kukutwa na vielelezo vyovyote
 
Unajua kua Hilo eneo walilouwawa sio ndani ya hifadhi, na hakuna kosa lolote waliokua wametenda Wala kukutwa na vielelezo vyovyote
Vipi umesikiliza upande wa pili au umeamua kuconclude? au ndio umekailili askari wote wana roho mbaya.
 
Muda wa majuto kwa hao askari ndio unaendelea.
Pole nyingi kwa Wafiwa.
 
..Interrogation ya dk Moja tu inatoa majibu kuwatilia hofu/mashaka ya jangili au asiye jangili. Lakini Hawa uhifadhi wanacheza mchezo wa kujihami sana..
Lakini pia kukosea njia Toka Makuyuni njia panda pale na Mabango yote yale, Uvuke mto wa mbu na vibao vyote, Uvuke karatu Hadi getini ni ajabu..
 
Jangili hana silaha yoyote wala mtego, hao wanayama anaenda kukamata kwa mikono🥹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…