Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Mkutano wa moja kwa moja na wandishi wa habari kati ya viongozi na kuwapokea waliotoka magereza
Update
-------
 
Erythrocyte,
Mkuu, Hao police wakora walikuwa wanataka nini sasa? wenzao wameona ujinga uliofanyika wakaamua kuchangia fedha za kulipia faini wao wamekalia kulamba miguu ya meko, hapo wanatafuta sifa
 
Hivi kwa nini mtu anafurahiya anapomtesa mwingine,na kwa nini huyu anashangilia anapomuona yule anateswa,huwa najiuliza hawa watu wana akili kweli,
 
Kwa nini wanawazuia? Ndio kukosa kazi au maelekezo toka kwa yule intarahamwe mwenye mikono iliyolowa damu?
 
Ingekuwa poa kweli yule mwanafunzi aliyeuawa angekuwa ndio wewe au ndugu yako wa karibu.
 
Samahani mkuu, unajua waliandamana kwa sababu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…