Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Polisi wamewablock viongozi wa CHADEMA Mheshimiwa Halima Mdee, Ester Matiko na Ester Bulaya mda Mfupi baada ya kutoka Gerezani Segerea baada ya kulipa Faini iliyotakiwa na Mahakama. [emoji44][emoji44][emoji44]naona tunataka kuiga Siasa za Uganda sasa

Jr[emoji769]
Sasa wanataka kuanzisha mikusanyiko ya kupiga kampeini au? Waache shobo waende nyumbani kwao! Jera kuna nyampala! Huku mtaani kuna polisi!
 
.
Screenshot_20200312-115120.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale hoja zinapomwishia mtu.
Huyu Dada Hilder Newton Chadema hua nampendaga namfollow Insta na posts zake na-like sana!

It always hit me,ana passion na chama chake sana,I have never seen a chick this passionate aisee!

Down for forever chick aisee!

I really have to wonder how is this chick so loyal to CDM,its fascinating scenario!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe na wenzake ni Viongozi wa CHADEMA,

Mashinji ni Nani kule ccm?

Ina maana hata alipokuwepo Chadema huyo alikuwa wa ccm kwa kazi maalum.
 
Viongozi watatu; Halima Mdee (Mb), Esther Bulaya (Mb) na Esther Matiko (Mb), wametoka magereza asubuhi ya leo na watazungumza na wanahabari leo katika Ofisi za CHADEMA makao makuu Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.

Polisi wamewablock viongozi wa CHADEMA Mheshimiwa Halima Mdee, Ester Matiko na Ester Bulaya mda Mfupi baada ya kutoka Gerezani Segerea baada ya kulipa Faini iliyotakiwa na Mahakama.

Watazungumza na Watanzania kupitia waandishi wa habari, saa 5 Asubuhi, leo Alhamis. 12/03/2020, baada ya kutoka gereza la Segerea jijini Dar es salaam.
View attachment 1385386
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa

Mungu ibariki Chadema
Wamewablock kivipi mkuu weka taarifa timilifu
 
Akwelina ni matokeo ya makosa yaliyofanywa na hao waliotoka leo.

Wasingeandamana bila kibali, Who knows binti wa watu angekuwa keshamaliza masomo yake anafaidi matunda ya elimu yake.
Tuna safari ndefu sana.Chanzo kikuu cha hao unaosema waliandamana ni nini hasa?.
 
Back
Top Bottom