Nasikia mmeshatuma Polisi kuzui huo mkutano!!!
Hivi jamani michango kwa ajili ya kumalizia kuwatoa kina mbowe imefikia sh ngapi mpaka leo? Au ndo ngoma imebuma?Kwisha habari zao
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia mmeshatuma Polisi kuzui huo mkutano!!!
Hivi jamani michango kwa ajili ya kumalizia kuwatoa kina mbowe imefikia sh ngapi mpaka leo? Au ndo ngoma imebuma?Kwisha habari zao
In God we Trust
Soma atapata mwandani wakoHapo tunapata somo la kutofanya maandamano bila kibali.
usikute wewe ndiyo uliyempiga risasi!Akwelina ni matokeo ya makosa yaliyofanywa na hao waliotoka leo.
Wasingeandamana bila kibali, Who knows binti wa watu angekuwa keshamaliza masomo yake anafaidi matunda ya elimu yake.
kwani hakukuwa na njia nyingne ya kuzuia maandamano zaidi ya kumtwanga risasi Akwilina?Kwani hakukuwa na njia nyingine ya kufanya zaidi ya hiyo ya kuandamana bila kibali?? Angalia sasa vitendo vyao vimegharimu maisha ya binti asiyekuwa na hatia. Hamlioni hilo??
urafiki wenu na POLICE ipo siku mtakufa kama Liverpool kutegemea crosses na inshalaah na nyie Police na wenu vitawasaliti.IGP alishalizungumzia hilo sina majibu ya ziada.
Nasikia kumbe mmewakamua wabunge wenu. Mlitaka kick kwamba umma unasuport lakini mmekwama.Watanzania sio wajinga.Ili ufanyeje. Tumempa Mbowe kwa hiari yake akanywee bia akitaka ahonge. Hata wewe ukitaka nenda akuhonge. Hela za wanaume wenzio roho inataka kukutoka. Tafuta zako. Au sema uchangiwe
Tulia wewe waheshimiwa watoeshukrani kwanza kwa wananchi waliowachangia michango kuwatoa toka kwenye mikono ya huyu shetani dhalimuSasa wanataka kuanzisha mikusanyiko ya kupiga kampeini au? Waache shobo waende nyumbani kwao! Jera kuna nyampala! Huku mtaani kuna polisi!
Mbona unateseka sana?Nasikia kumbe mmewakamua wabunge wenu. Mlitaka kick kwamba umma unasuport lakini mmekwama.Watanzania sio wajinga.
Vipi yule Mkurugenzi aliyewanyima mawakala wa chadema viapo vyao.Sasa wajifunze kutii sheria bila sheria bila shuruti sio kuandamana bila mpango!
The epic of lunacy.Na wakome! Wajifunze kuwa wazalendo na waache kutumiwa na mabeberu kuvuruga amani ya nchi kwa kisingizio cha Democrasia na wingi wa watu katika kutenda uhalifu wakidhani mkono wa sheria utawaogopa!
Wakirudia wataadhibiwa kwa adhabu kali ili akili ziwakae kichwani! Badala ya kujenga hoja wananchi tuwaelewe wanaazisha vurugu za maandamano?
Unasadifu akili za vijana wengi wa Lumumba,Na wakome! Wajifunze kuwa wazalendo na waache kutumiwa na mabeberu kuvuruga amani ya nchi kwa kisingizio cha Democrasia na wingi wa watu katika kutenda uhalifu wakidhani mkono wa sheria utawaogopa!
Wakirudia wataadhibiwa kwa adhabu kali ili akili ziwakae kichwani! Badala ya kujenga hoja wananchi tuwaelewe wanaazisha vurugu za maandamano?
Mimi simpendi, afanye yote, lakini athamini uhai wa watu. Wewe jenga, lolote hata kitandani kwako, lakini waache watu waishi.Wapi Ben, wapi azory na wengine waliookotwa kwenye sandarus?Watu kama wale mungu huwapa umri mrefu ili waje waone mabadiliko yanapotoke ktk nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufanya kazi bila weredi ndiko kumesababisha upotevu wa maisha wa binti huyo mdogo.Akwelina ni matokeo ya makosa yaliyofanywa na hao waliotoka leo.
Wasingeandamana bila kibali, Who knows binti wa watu angekuwa keshamaliza masomo yake anafaidi matunda ya elimu yake.