Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Natesekaje?Mbona unateseka sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natesekaje?Mbona unateseka sana?
Lakini haitawaingiza Ikulu asilan!Wametoka kwa nguvu ya umma.
akili mandazi hizi.Baada ya Esther Bulaya,Esther Matiku,Halima Mdee kutolewa jana leo Msigwa katolewa na familia yake akiwemo "Sanji" wake JPM.
Ningeshauri Chadema waache propaganda na wawekeze nguvu kuwatoa Mbowe,Mnyika na Salum Mwalimu.
Je Mnyika ni bora kuliko hao wengine?mbona Chadema mnakuwa wepesi kuhadaika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya Esther Bulaya,Esther Matiku,Halima Mdee kutolewa jana leo Msigwa katolewa na familia yake akiwemo "Sanji" wake JPM.
Ningeshauri Chadema waache propaganda na wawekeze nguvu kuwatoa Mbowe,Mnyika na Salum Mwalimu.
Je Mnyika ni bora kuliko hao wengine?mbona Chadema mnakuwa wepesi kuhadaika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamsikiliza huyo kilaza Wakudadavuwa? Wrong timing ya Magu na watu wake. Wanapeleka fedha kujifanya kumlipia Msigwa wakati tayari Chadema kesha lipa.Kwani haujaona risiti ya malipo ya msigwa,Mnyika,Mwalimu wakiwa wamelipiwa na chadema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa mnakurupuka kuandika nyuzi mwisho wa siku mnaumbuka!Ona sasa ulivyoumbuka,shwain!Baada ya Esther Bulaya,Esther Matiku,Halima Mdee kutolewa jana leo Msigwa katolewa na familia yake akiwemo "Sanji" wake JPM.
Ningeshauri Chadema waache propaganda na wawekeze nguvu kuwatoa Mbowe,Mnyika na Salum Mwalimu.
Je Mnyika ni bora kuliko hao wengine?mbona Chadema mnakuwa wepesi kuhadaika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Too low Niger!Kwa nini Mbowe hajajitoa mwenyewe? Si ana mahela mengi....au hana siku hizi?
Unauliza jibu?Natesekaje?
Hivi jamani michango kwa ajili ya kumalizia kuwatoa kina mbowe imefikia sh ngapi mpaka leo? Au ndo ngoma imebuma?
Kwa nini Mbowe hajajitoa mwenyewe? Si ana mahela mengi....au hana siku hizi?
..wanadai Mbowe account zake zimekuwa frozen na serikali.
..pia inawezekana CDM wanataka wai-drag hii process as long as they can ili kupata political milage.
..Mimi kwa mtizamo wangu, looking at how things have unfolded, nadhani Magufuli alitakiwa awatoe wote kwa msamaha wa Raisi.
..The whole thing seem to have backfired. Ni aibu na fedheha haswa kuwaona wabunge wanawake wanasindikizwa kwa silaha.
..Magufuli angewaachia na kufungua UKURASA MPYA wa siasa hapa nchini.
I’ll go even further.
Sikuona hata sababu moja ya kuhalalisha wao kukamatwa, achilia mbali kufunguliwa mashtaka na kupatikana na hatia.
Serikali ya Magufuli iache kuhangaika na vitu kama hivyo.
Kwa ushauri wa Polepole? Magufuli alipokubali washauri wakuu wawe Makonda na Polepole ndo kushindwa kwake kulipoanzia.I’ll go even further.
Sikuona hata sababu moja ya kuhalalisha wao kukamatwa, achilia mbali kufunguliwa mashtaka na kupatikana na hatia.
Serikali ya Magufuli iache kuhangaika na vitu kama hivyo.
I’ll go even further.
Sikuona hata sababu moja ya kuhalalisha wao kukamatwa, achilia mbali kufunguliwa mashtaka na kupatikana na hatia.
Serikali ya Magufuli iache kuhangaika na vitu kama hivyo.
..sasa huyu si msukuma mwenzako?
..kwanini usimtumie ticket aje huku kupumzika hata wiki moja halafu umfungulie TV aone Trump anavyokosolewa / "anavyotukanwa. "?😂😂
..huenda atakaporudi Bongo atakuwa amebadilika.