Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Ni hatua nzuri. Shukran kwa wote walioshiriki kuchangia.

Michango bado iendelee mpaka mtetea haki wa mwisho aachiwe huru. Huu ndio umoja, huku ndiko kudai haki kwa vitendo, huu ndio uzalendo, huku ndiko kuonyesha nguvu ya wananchi.

UHURU KAMILI BADO HAUJAPATIKANA, HALUTA KONTINUA.
 
Akaunti za mbowe zote zilishafungwa Na serikalini kibabe mpaka Mpesa, maisha haya hatari sana.Hivi Uhuru tulidai Wa nini?
 
Back
Top Bottom