lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu wala siyo Usukuma bana.
Wasukuma hawako monolithic.
Tatizo kubwa lililopo, kwa mtazamo wangu, ni la kikatiba.
Tukiondokana na urais wa kifalme [imperial presidency], nadhani hali itakuwa bora zaidi ya ilivyo sasa.
Haya mambo hayajaanza jana wala leo.
Hivi unakumbuka Mchungaji Mtikila alikamatwa na kufungwa mara ngapi? Na Mtikila hajawahi kuwepo kwenye utawala wa Magufuli.
Unakumbuka hata mke wa Dkt. Slaa aliwahi kupigwa virungu na kutolewa ngeu na polisi?
Rais Magufuli aliombwa na wazee ndugu wa Msigwa awasaidie mchango wa kumuondoa ndugu yao Msigwa jera!
Kuhusu kama alikuwa ameishalipiwa hama hajalipiwa hilo halimuhusu Rais Magufuli. Rais aliheshimu ombi la wazee la undugu kwa vile mtoto wa Magufuli kaoa kwa Msigwa. Sasa mlitaka Rais akatae au?
Mbona unajichanganya? Unajiuliza na kujijibu mwenyewe!..kama aliombwa na familia kwanini habari hizi hazitangazwi na msemaji wa familia, badala yake zinatangazwa na msemaji wa ikulu?
..pia kwanini atumwe Humphrey Polepole kwenda kumtoa badala ya wanafamilia wenyewe?
..pia hivi Raisi hana watu wa INTELLIGENCE kumtonya kuwa Mchungaji Msigwa ameshalipiwa na CDM?
..KUNA WATU HAWAMSAIDII RAISI.
Mbona unajichanganya? Unajiuliza na kujijibu mwenyewe!