Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Ishu wala siyo Usukuma bana.

Wasukuma hawako monolithic.

Tatizo kubwa lililopo, kwa mtazamo wangu, ni la kikatiba.

Tukiondokana na urais wa kifalme [imperial presidency], nadhani hali itakuwa bora zaidi ya ilivyo sasa.

Haya mambo hayajaanza jana wala leo.

Hivi unakumbuka Mchungaji Mtikila alikamatwa na kufungwa mara ngapi? Na Mtikila hajawahi kuwepo kwenye utawala wa Magufuli.

Unakumbuka hata mke wa Dkt. Slaa aliwahi kupigwa virungu na kutolewa ngeu na polisi?

..kwanza niombe msamaha hapo kwenye usukuma.

..nilikuwa natania tu, you did not have to explain yourself. Samahani kama nimekukwaza.

..ni kweli haya mambo hayakuanza na Magufuli au ktk awamu hii.

..nakumbuka Mrema alipigwa mabomu kwelikweli alipokwenda Moshi / Kilimanjaro. Na RPC alikuwa Omari Mahita ambaye baadae alipandishwa cheo na kuwa IGP.

..ni kweli Mchungaji Mtikila alifungwa. Pia Mchungaji Kamara Kusupa alifungwa. Juma Duni na wenzake walikuwa na kesi ya uhaini. Halafu kulitokea mauaji ya Unguja na Pemba. Hiyo ni kwa uchache tu.

..What is the difference btn now and then?

..Mimi nadhani MKAPA na KIKWETE walikuwa smart enough in keeping their distance na UKATILI waliokuwa wakifanyiwa WAPINZANI.

..Kwa mfano, mauaji ya Mwembechai na Pemba aliyebebeshwa lawama ni Waziri Mkuu Sumaye, na siyo Amiri jeshi mkuu Mkapa.

..MAGUFULI sijui kwasababu ni TOUGH GUY, or his rhetoric, UKATILI unaonekana kama vile ni kwa MAAGIZO yake yeye binafsi.

..Pamoja na kuonyesha kwamba ni mtu wa SALA / MAOMBI bado hajaweza kuondokana na imani / hisia kwamba mambo haya mabaya hayana baraka na maelekezo yake.

..He has to do something very drastic kubadilisha hisia hizo otherwise anaweza kuharibu LEGACY yake na kuchafua taswira ya nchi kimataifa.
 
Rais Magufuli aliombwa na wazee ndugu wa Msigwa awasaidie mchango wa kumuondoa ndugu yao Msigwa jera!
Kuhusu kama alikuwa ameishalipiwa hama hajalipiwa hilo halimuhusu Rais Magufuli. Rais aliheshimu ombi la wazee la undugu kwa vile mtoto wa Magufuli kaoa kwa Msigwa. Sasa mlitaka Rais akatae au?
 
..kama aliombwa na familia kwanini habari hizi hazitangazwi na msemaji wa familia, badala yake zinatangazwa na msemaji wa ikulu?

..pia kwanini atumwe Humphrey Polepole kwenda kumtoa badala ya wanafamilia wenyewe?

..pia hivi Raisi hana watu wa INTELLIGENCE kumtonya kuwa Mchungaji Msigwa ameshalipiwa na CDM?

..KUNA WATU HAWAMSAIDII RAISI.
 
Mbona unajichanganya? Unajiuliza na kujijibu mwenyewe!
 
*Anaandika Askofu Benson Bagonza*

Unawezaje kusema tuna judicial independence wakati:

Jana wapinzani walienda kutoa watu wao, Bwana jela akasema yuko kikaoni, wadhaminiwa wakalala. Lakini Polepole alienda bila risiti akapewa mfungwa wake.

Leo wapinzani wamezuiwa kuingia kumpokea Msigwa, lakini Polepole ameruhusiwa kuingia na gari.

Jr[emoji769]
 
FB_IMG_1584030579247.jpg
 
Ni jambo la kumshukuru Mungu umma wa watanzania bila kujali itikadi, dini, wala kabila, waliamua kwa pamoja kila mmoja kwa chochote alichonacho kuwachangia, hakika Mungu ambariki kila aliyetoa mchango wa aina yoyote, iwe pesa au mawazo, na wote walioguswa na jambo hili.

Mungu ni mwema kila wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana roho mbaya sana hawa madhalili.Wanapewa heshima ya kuaminiwa na watu wawaongoze wao uwalipa kwa kuwatesa,kuwaletea umasikini, kuuwa watu, kuwakomoa watu,kuwabambika watu,kosa letu ni kuwaamini watuongoze wao wanatulipa mabaya.
 
Back
Top Bottom