Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Alijua faini yake ni kubwa kuliko wote,angekuwa anatakiwa kutoa mil 2 angeanza yeye wengine wakafuata
 
"Anzeni na wanawake..kwani vitani tuna okoa kwanza wanawake na watoto". Freeman Aikael Mbowe.

Hii ni kauli ya kishujaa ya Mhe. Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa aliyoitoa juzi akiwa gerezani Segerea alipopewa taarifa ya kiasi kilichopatikana kuwa hakitoshi kuwatoa wote.

Baada ya kauli hiyo ndipo malipo ya Halima Mdee, Ester Bulaya na Ester Matiko yalipofanyika.

Kwangu binafsi ni kauli ya kamanda halisi anayejali anaowaongoza, angeweza kusema nitoeni mimi kwanza ili nikaratibu michango, hata captain wa meli huwa wa mwisho kutoka pindi meli inapokumbwa na dhoruba.

Mbowe umeonyesha uongozi uliotukuka.
Mchungaji mwema wa kondoo hukaa mbele ya kundi la wanakondoo.....lakini mchunga mbuzi hukaa nyuma.

Kwahiyo Mbowe anasubiri akachangishiwe na akina Easter?!
 
Alijua faini yake ni kubwa kuliko wote,angekuwa anatakiwa kutoa mil 2 angeanza yeye wengine wakafuata
Yeye sio shetani kama nyie msio na aibu. Hebu mpaka Leo bado mmesimamia eti Rais ndio kamlipia Msigwa faini! Kisa mmekamata redio na magazeti yote yanatangaza mpendayo.
Lakini msichojua ni kuwa hata vijijini sasa smartphone zipo na watu wanaujua ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahamu mashetani wangapi wanaoweza kutoa mil 38 hapa duniani
Yeye sio shetani kama nyie msio na aibu. Hebu mpaka Leo bado mmesimamia eti Rais ndio kamlipia Msigwa faini! Kisa mmekamata redio na magazeti yote yanatangaza mpendayo.
Lakini msichojua ni kuwa hata vijijini sasa smartphone zipo na watu wanaujua ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe kamuona ndugu yake tu, kasahau kuwa kwa cheo chake watanzania wote ni ndugu zake.
Hata huo undugu ni wa kulazimisha tu , eti mtoto wa dada sijui kaolewa na nani ! huo undugu wa wapi aiseee ?
 
Back
Top Bottom