Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabunge watatu (3) wa CHADEMA walioachiwa kutoka gerezani wamesikika wakidai kuwa sasa ni saa ya ukombozi na wananchi waliowachangia faini ya mahakama wamedhirisha hilo. Wasikilize kwenye YouTube links hapa chini.
Swali la msingi Je, Tanzania tunahitaji Sera na Mikakati ya kujikomboa kisiasa (demokrasia/uhuru/haki) au mageuzi ya kiuchumi?
TUJADILI
Haya maswali ungemuuliza chakubanga
Tuliza kishundu hicho uzae salama sisterKama za mbowe walizuia si zingetumika za kwako au msigwa?au wote mnaweka hela kwa mbowe?
Soma habari nzima,account za wabunge pamoja na za Mbowe!
Aliyewafunga kaenda kuwalipia....vichekeshi hivi havijawahi tokea tangu kuumbwa ulimwenguSasa wajifunze kutii sheria bila sheria bila shuruti sio kuandamana bila mpango!
CCM mmeumbuka sana leo!Si wamelipa ni lazima watoke!
Kwamba unatumia lugha ya vijiweni kujibu hoja inadhahirisha ni jinsi gani akili yako ifanyavyo kazi.Hivi mwengeso utaacha lini kutetea siasa za kitoto za jiwe? Kila siku huwa unasema namshambulia jiwe, nadhani ww na dunia umejiridhisha kiwango cha ujinga ambao huwa nasema huyo jamaa anao. Hata maamuzi ya hizo kesi za kukomoa wapinzani huko mahakamani nadhani sasa umejua kuwa huwa nani anaagiza. Toka nje ya box, vinginevyo unaonyesha unashabikia utoto bila kujitambua.
Mkuu,ebu shauri wewe unafikiri wangetumia njia gani wakati muda ulikua tayari ni SAA 12jioni na kesho yake ni uchaguzi?Kwani hakukuwa na njia nyingine ya kufanya zaidi ya hiyo ya kuandamana bila kibali?? Angalia sasa vitendo vyao vimegharimu maisha ya binti asiyekuwa na hatia. Hamlioni hilo??
Sasa braza mm si nimeuliza tu swali kama kamanda na ww unatakiwa kunijibu tu!!
Kwamba unatumia lugha ya vijiweni kujibu hoja inadhahirisha ni jinsi gani akili yako ifanyavyo kazi.
Kitendo cha viongozi wa CHADEMA, kuendesha harambee kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, pia ni uthibitisho tosha ya madai kuwa pesa ya RUZUKU inatumika vibaya kiasi hata Makao Makuu ya Chama Kikuu cha Upinzani hayana ofisi yenye sifa hiyo.
Jitambue, Jikubali, Chukua Hatua, WAKATI NDIO HUU.