Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Tuo Tuo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
678
Reaction score
1,202
Kuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!

Makabila bora kabisa kupata mke ni:

1. Wabena
Hawa watu ni wavumilivu na wanajali familia. Si watu wa tamaa tamaa au wazinzi wakitulia wametulia

2. Wakinga
Hawa ni watu wapambanaji sana pamoja na kua wana focus kwenye hela sana ila bado ni watu wa kujali familia na si rahisi kukuta mke kamuacha mumewe kisa uchumi

3. Waha
Hili kabila wanaongoza kwa kuchapa kazi pia wake zao ni wavumilivu. Mwanamke wa kiha hawezi kukuacha kisa mnapitia wakat mgumu kiuchumi pia wanajua sana biashara

4. Wahehe
Hawa nao wanawake wao wako poa sana shida ni hasira ya kujinyonga ingawa hii ipo sana kwa wanaume. Ila ukipata mke wa kihehe umeopoa

5. Wakurya
Ukipata mke wa kikurya toka ukuryani kabisa na ukawa unampa shoo za kibabe huwezi mkuta anahangaika. Changamoto kama kitandani ni shida hamuwezi elewana

6. Wasukuma
Hawa pia ukipata mke wa ndani huko wanatulia ila wakiwa mjini utaelewa.

KIMBEMBE OA
Pwani, Tanga, Lindi au Kaskazini

Haya hii ni kutokana na Experience yangu. Kama kuna watu wameoa haya makabila na wanadumu usisite kuweka ushahidi.

Kama kuna mengine au maoni tofauti pia karibuni.

 
Hapa kwenye kipengele cha Makabila KIMBEMBE, Ongeza Morogoro na Mtwara.
Huku hawaoni shida kuzaa kila mtoto na Baba yake. Pia huwa wanafundishwa kwenye unyago kuwa Kumyima mtu kitu ni dhambi.

Hivyo wakiolewa na mwanaume wa kabila lao wanawezana kitabia
 
Mke wa Haji Manara
 
Machame.
 
Post ya hovyo sana.

Kwa katika makabila hayo wanawake wote wapo safi?

Swala la kuoa linategemea hasa mtu husika kuliko kabila.


Mfano, umeenda kuoa kwenye familia ya kishirikina huwezi kutoboa hata akiwa kwenye makabila Yako hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…