Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Kuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!

Makabila bora kabisa kupata mke ni:

1. Wabena
Hawa watu ni wavumilivu na wanajali familia. Si watu wa tamaa tamaa au wazinzi wakitulia wametulia

2. Wakinga
Hawa ni watu wapambanaji sana pamoja na kua wana focus kwenye hela sana ila bado ni watu wa kujali familia na si rahisi kukuta mke kamuacha mumewe kisa uchumi

3. Waha
Hili kabila wanaongoza kwa kuchapa kazi pia wake zao ni wavumilivu. Mwanamke wa kiha hawezi kukuacha kisa mnapitia wakat mgumu kiuchumi pia wanajua sana biashara

4. Wahehe
Hawa nao wanawake wao wako poa sana shida ni hasira ya kujinyonga ingawa hii ipo sana kwa wanaume. Ila ukipata mke wa kihehe umeopoa

5. Wakurya
Ukipata mke wa kikurya toka ukuryani kabisa na ukawa unampa shoo za kibabe huwezi mkuta anahangaika. Changamoto kama kitandani ni shida hamuwezi elewana

6. Wasukuma
Hawa pia ukipata mke wa ndani huko wanatulia ila wakiwa mjini utaelewa.

KIMBEMBE OA
Pwani, Tanga, Lindi au Kaskazini

Haya hii ni kutokana na Experience yangu. Kama kuna watu wameoa haya makabila na wanadumu usisite kuweka ushahidi.

Kama kuna mengine au maoni tofauti pia karibuni.

View attachment 2883317

Uchawi na ushirikina
 
Kuna baadhi ya tabia ni kama heritage traits,hata mtu akistaarabika vip lakini ukicheki DNA ya TABIA unavikuta ndani ya kabila husika.
Kwa upande wangu mimi natoa tahadhari saana kuoa mwanamke msomi haswa.sisemi wasiolewe ila unapomuoa inatakiwa uwe na mpana.

Mwanamke akishafikia total satsfaction of material and authority anahitaji msaada sana wa kiroho ili aendelee na maisha ya ndoa
 
Ushauri wangu kwa vijana ambao hamjaoa na mnategemea kuoa, oa mnayependana, pili Mila, desturi na tamaduni za makabila zina nanafasi kubwa sana kwenye ndoa na wengi wamefarakana kutokana issues km hizo. Ukimpata mnaeendana kidogo kitamaduni ni vizuri zaidi.
Mafano mdogo tu, labda ww ni muha umeoa mchaga watoto watawajua na kuthamini wajomba kuliko hata ndugu zako wa karibu na wanaweza wasiwajue kabisa, vile vile ukitaka kwenda home unaweza ukajikuta unarudi alone familia ukaiacha na kamwe mwezi Dec huwezi walazimisha waende kwenu wakaacha kwenda uchagani. Hilo ni never! Ss hilo laweza kukuletea unyonge hata km mkeo ha cheat. Ila ukiwa let say mapare kaoa mchaga wanaenda njia moja.
 
IMG_8147.jpg

Huyu Sulemani alitakiwa aandike kitabu kinachohusu wanawake kuliko hizi kero za ndoa leo hii
 
Usioe kabila oa mtu mwenyewe na kila mtu anatabia zake
nani kakudanganya?

kabila ni mkusanyiko wa watu walio close related kwa damu na wana common ancestors.

Wana share DNA...na DNA ina determine tabia na other bodly characteristics za wahusika

Nenda kaoe Uhayani watu wana sexual drive kubwa kuliko wewe ambayo ni function ya DNA composition,I wonder how will you match that?

You cant
 
Kuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!

Makabila bora kabisa kupata mke ni:

1. Wabena
Hawa watu ni wavumilivu na wanajali familia. Si watu wa tamaa tamaa au wazinzi wakitulia wametulia

2. Wakinga
Hawa ni watu wapambanaji sana pamoja na kua wana focus kwenye hela sana ila bado ni watu wa kujali familia na si rahisi kukuta mke kamuacha mumewe kisa uchumi

3. Waha
Hili kabila wanaongoza kwa kuchapa kazi pia wake zao ni wavumilivu. Mwanamke wa kiha hawezi kukuacha kisa mnapitia wakat mgumu kiuchumi pia wanajua sana biashara

4. Wahehe
Hawa nao wanawake wao wako poa sana shida ni hasira ya kujinyonga ingawa hii ipo sana kwa wanaume. Ila ukipata mke wa kihehe umeopoa

5. Wakurya
Ukipata mke wa kikurya toka ukuryani kabisa na ukawa unampa shoo za kibabe huwezi mkuta anahangaika. Changamoto kama kitandani ni shida hamuwezi elewana

6. Wasukuma
Hawa pia ukipata mke wa ndani huko wanatulia ila wakiwa mjini utaelewa.

KIMBEMBE OA
Pwani, Tanga, Lindi au Kaskazini

Haya hii ni kutokana na Experience yangu. Kama kuna watu wameoa haya makabila na wanadumu usisite kuweka ushahidi.

Kama kuna mengine au maoni tofauti pia karibuni.

View attachment 2883317
Kumbe umeo kabila hizo zote hahahaha natania
 
Mali na urithi mtu atazipata kwa Baba yake ila mke mwema anatoka kwa Bwana. Kinywa chake ni kama kima cha Marijan cjui nini nimesahau.........!!. Katika life usiende nje ya nature itakutesa sana. Unataka kuoa piga goti funga na kuomba Mungu ni muaminifu nakuhakikishia utapewa mtu sahihi. Lifanye hilo zoez ndani ya mwezi utapata majibu kwa wakat bro
 
Back
Top Bottom