Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sawa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelezea vizuri, ahsante sana.Kuna baadhi ya tabia ni kama heritage traits,hata mtu akistaarabika vip lakini ukicheki DNA ya TABIA unavikuta ndani ya kabila husika.
Kwa upande wangu mimi natoa tahadhari saana kuoa mwanamke msomi haswa.sisemi wasiolewe ila unapomuoa inatakiwa uwe na mpana.
Mwanamke akishafikia total satsfaction of material and authority anahitaji msaada sana wa kiroho ili aendelee na maisha ya ndoa
Nyanda za juu kusini ni Iringa na songea ndio kunapisi nzuri zaidi halafu ndio mikoa mingine kama mbeya,rukwa,katavi,songwe na njombeHuko ulikotaja kuna pisi mbovu kishenzi.
Hivi iringa ukitoa vyuo kuna pisi kali kweli??
We jamaa iringa umeishi??Nyanda za juu kusini ni Iringa na songea ndio kunapisi nzuri zaidi halafu ndio mikoa mingine kama mbeya,rukwa,katavi,songwe na njombe
Ndiyo nimeishi Iringa,mbeya na songwe,na kwa uzoefu wangu Iringa na songea ndio zinaongoza kwa pisi Kali,mbeya kwenye shape iondoe kabisaaaWe jamaa iringa umeishi??
Kule kuna wahehe, wabena, wakinga, nk ni kabila gani hapo utapata pisi??
Mbeya nako pisi ni mbovu ila zina uafadhari na walau zina zigo la kutosha ila iringa ni wembaba, wafupi weusi.
HeyLamomy njoo huku leo siku yenu
Wanawake wa Zanzibar hawatulii Kwenye nyumba zao Yani niliishi Zanzibar nilishangaa mwanamke kaolewa lakini sasa kila wiki anaenda kuishi nyumbani kwao, nikajikuta najiuliza maswali inakuwaje Binti umeolewa na ndoa ina mwezi mmoja tu lakini Binti hapendi kukaa kwa mume, Yani utakuta wiki nzima binti yupo kwao na hakuna sababu za msingi zolizo mfanya arudi nyumbani kwao, shughuli za kufanya kwake yeye anaenda kuzifanya kwao.Wanawake poa sana wako pwani.
Tatizo dini yao tu. Uwe muislam mwenzao.
Hawa wavumilivu sana kwa mume na wana utu sana. Tatizo lao uswahili na mdomo tu
Bukoba ?!? Sio kweli!Hapa kwenye kipengele cha Makabila KIMBEMBE, Ongeza na Morogoro, Mtwara na wale wa kule Bukoba.
Huko hawaoni shida kuzaa kila mtoto na Baba yake. wanafundishwa kwenye unyago kuwa Kumyima mtu kitu ni dhambi.
Hivyo wakiolewa na mwanaume wa kabila lao wanawezana kitabia
...Chupuchupu nioe Mndali ,biñti Mlokole! ..why Wanyakyusa wa Kyela na sio.wa Tukuyu!Jichanganye uoe mwanamke wa kinyakyusa toka Kyela,utajuuta kuzaliwa ndoa kuwa jehanamu
Nambie shemela
Kyela wajuaji feminist wengi...Chupuchupu nioe Mndali ,biñti Mlokole! ..why Wanyakyusa wa Kyela na sio.wa Tukuyu!
Miaka ya nyuma kabla ya vyuo mbeya pisi kali mnagombea mji mzima.Ndiyo nimeishi Iringa,mbeya na songwe,na kwa uzoefu wangu Iringa na songea ndio zinaongoza kwa pisi Kali,mbeya kwenye shape iondoe kabisaaa
Ni asili ya wa pwaniWanawake wa Zanzibar hawatulii Kwenye nyumba zao Yani niliishi Zanzibar nilishangaa mwanamke kaolewa lakini sasa kila wiki anaenda kuishi nyumbani kwao, nikajikuta najiuliza maswali inakuwaje Binti umeolewa na ndoa ina mwezi mmoja tu lakini Binti hapendi kukaa kwa mume, Yani utakuta wiki nzima binti yupo kwao na hakuna sababu za msingi zolizo mfanya arudi nyumbani kwao, shughuli za kufanya kwake yeye anaenda kuzifanya kwao.
Wamachame zamani sasa ni kawaida ,walikuwa chenga hata kupika ila sasa wanapika fresh....Wanachame sifa za hovyo ilikuwa zamani..Mkuu mbona kuna Wamachame ni poa kupita maelezo?
Ukanda wa pwani sio tatizo ,tena nenda kweny sikukuu watu wanaenda nyumba moja wanakula pamoja au mwezi wa Ramadhan..Wanawake wa Zanzibar hawatulii Kwenye nyumba zao Yani niliishi Zanzibar nilishangaa mwanamke kaolewa lakini sasa kila wiki anaenda kuishi nyumbani kwao, nikajikuta najiuliza maswali inakuwaje Binti umeolewa na ndoa ina mwezi mmoja tu lakini Binti hapendi kukaa kwa mume, Yani utakuta wiki nzima binti yupo kwao na hakuna sababu za msingi zolizo mfanya arudi nyumbani kwao, shughuli za kufanya kwake yeye anaenda kuzifanya kwao.
Sahihi kabisa ✅mtu anajengwa na jamii inayomzunguka!!