Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Kuna baadhi ya tabia ni kama heritage traits,hata mtu akistaarabika vip lakini ukicheki DNA ya TABIA unavikuta ndani ya kabila husika.
Kwa upande wangu mimi natoa tahadhari saana kuoa mwanamke msomi haswa.sisemi wasiolewe ila unapomuoa inatakiwa uwe na mpana.

Mwanamke akishafikia total satsfaction of material and authority anahitaji msaada sana wa kiroho ili aendelee na maisha ya ndoa
Umeelezea vizuri, ahsante sana.
 
Nyanda za juu kusini ni Iringa na songea ndio kunapisi nzuri zaidi halafu ndio mikoa mingine kama mbeya,rukwa,katavi,songwe na njombe
We jamaa iringa umeishi??
Kule kuna wahehe, wabena, wakinga, nk ni kabila gani hapo utapata pisi??
Mbeya nako pisi ni mbovu ila zina uafadhari na walau zina zigo la kutosha ila iringa ni wembaba, wafupi weusi.
 
Ndiyo nimeishi Iringa,mbeya na songwe,na kwa uzoefu wangu Iringa na songea ndio zinaongoza kwa pisi Kali,mbeya kwenye shape iondoe kabisaaa
 
Wanawake poa sana wako pwani.

Tatizo dini yao tu. Uwe muislam mwenzao.

Hawa wavumilivu sana kwa mume na wana utu sana. Tatizo lao uswahili na mdomo tu
Wanawake wa Zanzibar hawatulii Kwenye nyumba zao Yani niliishi Zanzibar nilishangaa mwanamke kaolewa lakini sasa kila wiki anaenda kuishi nyumbani kwao, nikajikuta najiuliza maswali inakuwaje Binti umeolewa na ndoa ina mwezi mmoja tu lakini Binti hapendi kukaa kwa mume, Yani utakuta wiki nzima binti yupo kwao na hakuna sababu za msingi zolizo mfanya arudi nyumbani kwao, shughuli za kufanya kwake yeye anaenda kuzifanya kwao.
 
Hapa kwenye kipengele cha Makabila KIMBEMBE, Ongeza na Morogoro, Mtwara na wale wa kule Bukoba.
Huko hawaoni shida kuzaa kila mtoto na Baba yake. wanafundishwa kwenye unyago kuwa Kumyima mtu kitu ni dhambi.

Hivyo wakiolewa na mwanaume wa kabila lao wanawezana kitabia
Bukoba ?!? Sio kweli!
 
Wanawake wa Zanzibar hawatulii Kwenye nyumba zao Yani niliishi Zanzibar nilishangaa mwanamke kaolewa lakini sasa kila wiki anaenda kuishi nyumbani kwao, nikajikuta najiuliza maswali inakuwaje Binti umeolewa na ndoa ina mwezi mmoja tu lakini Binti hapendi kukaa kwa mume, Yani utakuta wiki nzima binti yupo kwao na hakuna sababu za msingi zolizo mfanya arudi nyumbani kwao, shughuli za kufanya kwake yeye anaenda kuzifanya kwao.
Ni asili ya wa pwani
 
Ukanda wa pwani sio tatizo ,tena nenda kweny sikukuu watu wanaenda nyumba moja wanakula pamoja au mwezi wa Ramadhan..

Pia pwani Mzee anafanya ufuatiliaji wa mwanae ndio maana kuna kauli ukifika haswa Tanga , Zanzibar wanawake wanasema "sikufukuzwa kwetu" ina maan yupo free kwenda mda wowote sharti ni kuomba ruhusu....

Ndio maana kule wanashangaa wachaga kurudi December tu😅😅, basi Tanga kutwa anaenda kwao au mzazi anakuja kuangalia mwanae.
 
Back
Top Bottom