Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Haya yote ni matokeo ya STEREO TYPING..!!!
 
Wakuu nna mademu wawili ambao sifa zao zinakaribiana, Mmoja ni Mchaga,mwingine mkinga ninashindwa kufanya maamuzi niende na yupi?
 
Tatizo wanawake wengi, namaanisha makabila yote wamejiongeza na kuamini zaidi Kwa wachungaji maslahi, na pia waganga maslahi, wanaume tunanyooshwa Hadi basi!! Tunaishi wakati mgumu sana, axis of devil's (Mshana Karibu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…