Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawapendi ndugu wa Mume plus mama mkwe!Wana kisasi Cha kijinga hata Cha miaka 10,,Hilo namba 1 watu wanalipigia chapuo sana
Unafki,unaweza dhani anakuchekea kweli kumbe anatarget nawe....siku ya kukugeuka ni moja tu.Kilakitu kibaya wamefichia kwenye ukimya waoHawapendi ndugu wa Mume plus mama mkwe!Wana kisasi Cha kijinga hata Cha miaka 10,,
Hawana shukrani hata uwafanyie nini!!ni wabinafsi sana!
Mkoa wa njombe ndio unaongoza kwa wanawake kwenda gerezani Tena Kwa kuwajeruhi au kuua wanaume!!
Japo ni wavumilivu wenye kuyatunza maumivu siku wakilipuka ni kifo au jeraha!
umenena,,ndo nilivo pia nakutunzia upuuzi wako na kuvumilia siku nikisanuka utajutaaaaaa.....😃Hawapendi ndugu wa Mume plus mama mkwe!Wana kisasi Cha kijinga hata Cha miaka 10,,
Hawana shukrani hata uwafanyie nini!!ni wabinafsi sana!
Mkoa wa njombe ndio unaongoza kwa wanawake kwenda gerezani Tena Kwa kuwajeruhi au kuua wanaume!!
Japo ni wavumilivu wenye kuyatunza maumivu siku wakilipuka ni kifo au jeraha!
uvumilivu una mwisho lakini😆Unafki,unaweza dhani anakuchekea kweli kumbe anatarget nawe....siku ya kukugeuka ni moja tu.Kilakitu kibaya wamefichia kwenye ukimya wao
Nadhani ndo hicho wanacho....unamkwaza ana pretend amepotezea,siku kikiwaka... umepotea mazima dunianiuvumilivu una mwisho lakini😆
Ngoja niweke kwenye kumbukumbu zanguChukua mnyakyusa hutojutia 🥴
🤣🤣🤣🤣🙌Ngoja niweke kwenye kumbukumbu zangu
yani hapo dada usiseme ndicho wanacho,,coz unaniongelea mimi m'bena pure kabisa,,ila kuua na kujeruhi siwezi nna maamuzi yangu fulani ivi.Nadhani ndo hicho wanacho....unamkwaza ana pretend amepotezea,siku kikiwaka... umepotea mazima duniani
🤣🤣🤣 Kumbe ni wewe🤣🤣🙌yani hapo dada usiseme ndicho wanacho,,coz unaniongelea mimi m'bena pure kabisa,,ila kuua na kujeruhi siwezi nna maamuzi yangu fulani ivi.
yani asilimia 💯😂,,baba mama wote wabena sasa unategemea nini apo🤣🤣🤣 Kumbe ni wewe🤣🤣🙌
Aaah, hiyo imeisha hiyo 🥴yani asilimia 💯😂,,baba mama wote wabena sasa unategemea nini apo
tusamehe bwana tutajirekebishaMara nyingi at secondary stage ya maendeleo ya kifamilia ndio ana apply Ili abaki mwenyewe na watoto,Tena anakuambia "NENDAGA TU UNIACHIE WATOTO"UKIMPATA MWINGINE WE NENDA KABISA" kumbe siku zote alikaa kimya for purpose na Target!
Bora mcharuko anaemaliza Kwa kelele kuliko anaecheka huku akisubiri kwa hamu unase kwa mtego!
Mbaya sanaMara nyingi at secondary stage ya maendeleo ya kifamilia ndio ana apply Ili abaki mwenyewe na watoto,Tena anakuambia "NENDAGA TU UNIACHIE WATOTO"UKIMPATA MWINGINE WE NENDA KABISA" kumbe siku zote alikaa kimya for purpose na Target!
Bora mcharuko anaemaliza Kwa kelele kuliko anaecheka huku akisubiri kwa hamu unase kwa mtego!
Sema nmejiharbia,kuna kajamaa kalkua kananpga sound pm naona kamenilima kitofali baada ya kujua mie m'bena 😔Aaah, hiyo imeisha hiyo 🥴
matumbo hua yanajua kukubali,sjui ndo hua yanajaa upendo wa waume zenu😂Nimenenepa ka puto...Mungu aingilie kati kwa kweliðŸ¤
Wanaume wapo wengi sana, perfect one hakimbii hata uwe na mapungufu gani.TuliaSema nmejiharbia,kuna kajamaa kalkua kananpga sound pm naona kamenilima kitofali baada ya kujua mie m'bena 😔