Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Kuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!

Makabila bora kabisa kupata mke ni:

1. Wabena
Hawa watu ni wavumilivu na wanajali familia. Si watu wa tamaa tamaa au wazinzi wakitulia wametulia

2. Wakinga
Hawa ni watu wapambanaji sana pamoja na kua wana focus kwenye hela sana ila bado ni watu wa kujali familia na si rahisi kukuta mke kamuacha mumewe kisa uchumi

3. Waha
Hili kabila wanaongoza kwa kuchapa kazi pia wake zao ni wavumilivu. Mwanamke wa kiha hawezi kukuacha kisa mnapitia wakat mgumu kiuchumi pia wanajua sana biashara

4. Wahehe
Hawa nao wanawake wao wako poa sana shida ni hasira ya kujinyonga ingawa hii ipo sana kwa wanaume. Ila ukipata mke wa kihehe umeopoa

5. Wakurya
Ukipata mke wa kikurya toka ukuryani kabisa na ukawa unampa shoo za kibabe huwezi mkuta anahangaika. Changamoto kama kitandani ni shida hamuwezi elewana

6. Wasukuma
Hawa pia ukipata mke wa ndani huko wanatulia ila wakiwa mjini utaelewa.

KIMBEMBE OA
Pwani, Tanga, Lindi au Kaskazini

Haya hii ni kutokana na Experience yangu. Kama kuna watu wameoa haya makabila na wanadumu usisite kuweka ushahidi.

Kama kuna mengine au maoni tofauti pia karibuni.

View attachment 2883317
7. WANYAMWEZI
 
We jamaa iringa umeishi??
Kule kuna wahehe, wabena, wakinga, nk ni kabila gani hapo utapata pisi??
Mbeya nako pisi ni mbovu ila zina uafadhari na walau zina zigo la kutosha ila iringa ni wembaba, wafupi weusi.
Hahaha iringa wafupi sana sijui shida nn
 
Fafanua mpaka wa standard four (darasa la nne) waelewee.... Sijawai ona mwanamke mwenye upendo kama mama angu mzazi though mzee wangu hajatoka huo ukanda..........

Baba angu mkubwa alimkosea heshima mama angu kipindi flani akamwambia naona Sasa Mali zimeongezeka usije ukamuua mdogo wangu....

Mama angu ni age mate na mama Samia na mpaka Sasa wapo pamoja wanamalizia uzee wao wana more than 35years anniversary
Simple and clear kama wao ambavyo hawaelewi wanachokitaka na wewe hivyo hivyo unatakiwa usieleweke kwake ila fanya majukumu yako na usimdekeze, maana ni rahisi sana kichaa kuishi na kichaa mwezake maisha yao yote, hivyo usiruhu binti wa huu ukanda wa kaskazini akakuelewa hata siku moja hata kama unaona kabisa leo ndiyo una kufa usikubali akakuelewa au akajua ndiyo unakufa au unakaribia kufa hapa utakua umemuweza na hakika atakuganda kwa kumnyima kile anachokitaka huku akiamini ipo siku atapata kile anachokitaka kumbe wewe unajua humpi na haelewi kama humpi.

Nb: Shauri yenu wanaume wezangu kama mtashindwa kutokueleweka kwa hawa viumbe wa kaskazini
 
Ukitaka kustarehe basi owa mtu wa kabila lako lkn kama wewe ni muhaya ukaenda kuowa mmakonde utapata shida ni hivyo mjita kumuowa mzaramu
 
Back
Top Bottom