Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Hayo makabila vipi kuhusu muonekano wa sura na shape..??Sio Tabia tu muangalie na uzur wa sura jamani,Mikoa mingie Kama WAHA walitakiwa wote kuwa wanaume…
 
Hayo makabila vipi kuhusu muonekano wa sura na shape..??Sio Tabia tu muangalie na uzur wa sura jamani,Mikoa mingie Kama WAHA walitakiwa wote kuwa wanaume…
Tusiwe tunafarijiana ukweli usemwe tu asilimia 75 ya jamii za Africa haziwana wanawake wazuri
 
Chakushangaza hao watu wanaosemwa wasiolewe ndio makabila yanayongoza kwa kuolewa bongo na nje huko haha hao wengine kama hawaonwi vile
 
Kuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!

Makabila bora kabisa kupata mke ni:

1. Wabena
Hawa watu ni wavumilivu na wanajali familia. Si watu wa tamaa tamaa au wazinzi wakitulia wametulia

2. Wakinga
Hawa ni watu wapambanaji sana pamoja na kua wana focus kwenye hela sana ila bado ni watu wa kujali familia na si rahisi kukuta mke kamuacha mumewe kisa uchumi

3. Waha
Hili kabila wanaongoza kwa kuchapa kazi pia wake zao ni wavumilivu. Mwanamke wa kiha hawezi kukuacha kisa mnapitia wakat mgumu kiuchumi pia wanajua sana biashara

4. Wahehe
Hawa nao wanawake wao wako poa sana shida ni hasira ya kujinyonga ingawa hii ipo sana kwa wanaume. Ila ukipata mke wa kihehe umeopoa

5. Wakurya
Ukipata mke wa kikurya toka ukuryani kabisa na ukawa unampa shoo za kibabe huwezi mkuta anahangaika. Changamoto kama kitandani ni shida hamuwezi elewana

6. Wasukuma
Hawa pia ukipata mke wa ndani huko wanatulia ila wakiwa mjini utaelewa.

KIMBEMBE OA
Pwani, Tanga, Lindi au Kaskazini

Haya hii ni kutokana na Experience yangu. Kama kuna watu wameoa haya makabila na wanadumu usisite kuweka ushahidi.

Kama kuna mengine au maoni tofauti pia karibuni.

View attachment 2883317
Unaishi kwa nadharia sana wee jamaa. Tembea kua uyaone.
 
We jamaa iringa umeishi??
Kule kuna wahehe, wabena, wakinga, nk ni kabila gani hapo utapata pisi??
Mbeya nako pisi ni mbovu ila zina uafadhari na walau zina zigo la kutosha ila iringa ni wembaba, wafupi weusi.
we nung'a Mdaho, be!! Ve utige kuli na fimalaya uho, gende na Vipisi fyenyu Ugho!!
 
Back
Top Bottom