Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nakubali 100%[emoji120] Mwalemi sana
Wakinga sisi ni wife material, hilo halina ubishi
Tusiwe tunafarijiana ukweli usemwe tu asilimia 75 ya jamii za Africa haziwana wanawake wazuriHayo makabila vipi kuhusu muonekano wa sura na shape..??Sio Tabia tu muangalie na uzur wa sura jamani,Mikoa mingie Kama WAHA walitakiwa wote kuwa wanaume…
😂😂😂AkachanganyikiweJichanganye!!
We kaa kimya,ni Baadhi ya makabilaTusiwe tunafarijiana ukweli usemwe tu asilimia 75 ya jamii za Africa haziwana wanawake wazuri
😁😁😁Hii nakubali 100%
Makabila htosumbuka
Waha
Wakurya
Wahangaza
Wachaga,(inategemea)
Maasai
Makabila htosumbuka...
Waha ✔️
Wakurya✔️
Wahangaza✔️
Wachaga,(inategemea)
Maasai,(inategemea)
Wanawake bora kabisa ,full package jaribu kufika Lushoto ...Pia sio watu kik sanaWasambaa je alafu wewe muoaji ukiwa sio msambaa
Mbeya hakuna wanawake wazuri NAKATAAAAA.Nyanda za juu kusini ni Iringa na songea ndio kunapisi nzuri zaidi halafu ndio mikoa mingine kama mbeya,rukwa,katavi,songwe na njombe
Unaishi kwa nadharia sana wee jamaa. Tembea kua uyaone.Kuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!
Makabila bora kabisa kupata mke ni:
1. Wabena
Hawa watu ni wavumilivu na wanajali familia. Si watu wa tamaa tamaa au wazinzi wakitulia wametulia
2. Wakinga
Hawa ni watu wapambanaji sana pamoja na kua wana focus kwenye hela sana ila bado ni watu wa kujali familia na si rahisi kukuta mke kamuacha mumewe kisa uchumi
3. Waha
Hili kabila wanaongoza kwa kuchapa kazi pia wake zao ni wavumilivu. Mwanamke wa kiha hawezi kukuacha kisa mnapitia wakat mgumu kiuchumi pia wanajua sana biashara
4. Wahehe
Hawa nao wanawake wao wako poa sana shida ni hasira ya kujinyonga ingawa hii ipo sana kwa wanaume. Ila ukipata mke wa kihehe umeopoa
5. Wakurya
Ukipata mke wa kikurya toka ukuryani kabisa na ukawa unampa shoo za kibabe huwezi mkuta anahangaika. Changamoto kama kitandani ni shida hamuwezi elewana
6. Wasukuma
Hawa pia ukipata mke wa ndani huko wanatulia ila wakiwa mjini utaelewa.
KIMBEMBE OA
Pwani, Tanga, Lindi au Kaskazini
Haya hii ni kutokana na Experience yangu. Kama kuna watu wameoa haya makabila na wanadumu usisite kuweka ushahidi.
Kama kuna mengine au maoni tofauti pia karibuni.
View attachment 2883317
Hapo kwa wachaga nilitaka kukupinga ila ulivyoandika inategemea kwenye mabano tupo pamoja.Makabila htosumbuka
Waha
Wakurya
Wahangaza
Wachaga,(inategemea)
Maasai
Pisi kali IRA na MBY?Ndiyo nimeishi Iringa,mbeya na songwe,na kwa uzoefu wangu Iringa na songea ndio zinaongoza kwa pisi Kali,mbeya kwenye shape iondoe kabisaaa
Unaishi kwa nadharia sana wee jamaa. Tembea kua uyaone.
NdioPisi kali IRA na MBY?
we nung'a Mdaho, be!! Ve utige kuli na fimalaya uho, gende na Vipisi fyenyu Ugho!!We jamaa iringa umeishi??
Kule kuna wahehe, wabena, wakinga, nk ni kabila gani hapo utapata pisi??
Mbeya nako pisi ni mbovu ila zina uafadhari na walau zina zigo la kutosha ila iringa ni wembaba, wafupi weusi.